Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,659
- 2,621
.......tatu, washiriki wa ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu walibeba silaha za aina mbalimbali, zikiwemo mawe, nondo, mkuki, sururu, fimbo, marungu, visu, vibiriti, vipulizi, bunduki, manati, kombeo, rato, mapanga; jambo ambalo haliruhusiwi kisheria katika maandamano ya amani.
Hii ni kinyume cha sheria na taratibu za kimataifa; Ibara ya 21 ya Mkataba wa Haki za Binadamu na Raia na Kisiasa mwaka 1966, Haki kando Ibara ya 11 ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na za Watu mwaka 1981, na Ibara ya 10 na 11 ya Mkataba wa Ulaya wa Haki za Binadamu mwaka 50.
Na kitaifa, Ibara ya 18 na 21 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haviruhusu maandamano ya watu waliobeba silaha. Jaji Chande