uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Summary

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania: Novemba 7, 2025

    Watanzania 463 Wakabiliwa na Mashtaka ya Uhaini, Unyang’anyi kwa kutumia silaha - akiwemo Mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) Jamhuri imewafungulia kesi Watanzania 240 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Ijumaa Novemba 7, 2025, wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uhaini; la...
  2. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waombelezaji wanatishwa, hakuna kuongelea misiba iliyotokea wakati wa maandamano, wanamaliza misiba bila miili!

    Wakuu, Hiki ndio kinachoendelea mtaani kipindi hiki! Wakati wa maandamano wananchi walishuhudia wapendwa wao wakipigwa risasi na polisi na kuona miili ikizagaa mtaani wengine mpaka siku tatu. Walipojaribu kuchukua miili hii kwa taratibu nyingine za kupumzisha wapendwa wao, polisi waliwakataza...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Machaguo yaliyobaki kwa Watanzania kupambana na utawala dhalimu uliojitwalia madaraka kwa bunduki za Polisi

    1. Maandamano makubwa zaidi 2. Kususia bidhaa na huduma za watu wanaojinasibisha na utawala dhalimu. 3. Kuunganisha nguvu na Kanisa Katoliki ambayo ndiyo taasisi kubwa pekee iliyobaki inayoweza kupaza sauti kupinga ukandamizaji.
  4. w0rM

    JamiiForums Tanzania GE2025 AU: Uchaguzi Tanzania haukuendana na Kanuni, Mifumo ya Kimaadili ya AU, na wajibu na viwango vya kimataifa vya uchaguzi wa kidemokrasia

    Taarifa ya Awali ya Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Afrika kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Afrika unatoa wito wa kufanyika kwa mageuzi ya haraka ya kikatiba na siasa shirikishi katika Jamhuri ya...
  5. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Saddam Hussein alihukumiwa kifo mwaka 2006 kwa mauaji ya raia 148. Hawa walioua maelfu hapa nchini wanachomokaje?

    Historia ina tabia ya kujirudia Huyu ni Sadam Hussein mwaka 2006 baada ya mahakama maalum ya Iraq kumtia hatiani kwa kosa la mauaji ya raia 148 wa kijiji cha Dujail mnamo mwaka 1982. Saddam alihukumiwa kufa kwa kunyongwa kwa madai ya kuamuru mauaji hayo kama kisasi baada ya jaribio la kutaka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka na mauaji yaliyofanyika, waliotangazwa washindi wa viti vya Ubunge na Udiwani wanatakiwa kujiuzulu

    Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kujali utu na mzalendo kwa nchi yake. Raha ya kuwa mbunge ama diwani katika mazingira haya ya uchaguzi uliojaa damu za watu unaipata wapi? No wonder mpaka muda huu sijaona diwani au mbunge yoyote mteule aliejitokeza hadharani au kwenye mitandao...
  7. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli Samia alipata kura Milioni 31. Hii ndio mbinu waliotumia CCM kupata hizo kura

    Kura ni kweli alipata. CCM wanaposema Samia amepata kura Milioni 31 hawadanganyi. Kwao kura moja sio lazima ipigwe na mpigakura mmoja. Kama mnavyoona kwenye video mpiga kura mmoja anaweza kuweka nyingi awezavyo tena kwa usaidizi wa watu kutoka kwenye tume ya taifa ya Uchaguzi. CCM Oyeee!
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

    Wanabodi Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa. Hii ni taarifa ya taasisi ya...
  9. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbali na Chaneli ya Al-Jazeera kuzuiwa kwenye Visimbuzi Tanzania, tovuti yao pia imepigwa pini! Mnaficha nini?

    Mbali na Al Jazeera kupigwa pini kwenye visimbuzi Tanzania, jamaa wameona haitoshi wakaenda block na website yao! Sasa hivi tovuti hiyo haipatikani Tanzania mpaka utumie VPN. Jinsi inavyokuwa ukijaribu kufungua bila VPN Sasa unajiuliza, kama walisema watanzania hawajaandamana, waliokufa pia...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi ndivyo Watanzania Walivyomsalimia Museveni baada ya kupongeza "ushindi" wa Samia

    Wakuu, Nilikuwa nilipitia post ya Museveni akiwa anampongeza Samia kwa kushinda Urais na kupitia hiyo post nimeona Watanzania wametuma salamu mbili tatu hapo Uzuri wa Watanzania siku hizi wanafuatilia vitu na wanajua what they are talking about. Ni aibu sana kwa nchi ambayo ilikuwa ni kitovu...
  11. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya kushindwa kuficha ushahidi, sasa mnataka kuwaangushia mzigo CHADEMA waliokuwa gerezani. Ni ujinga gani huu?

    Yaani kila siku tunaona maajabu ya mwaka😂😂😂. Mlianza kusema walioandamana sio Watanzania, haikutosha mkasema waliokufa sio Watanzania mkadhani wananchi ni wajinga! Video zikaanza kuibuliwa hadi na kila inayotoka mnaulizwa huyu sio Mtanzania? Na Mungu alivyojua kuwaumbua, hata chawa wenu...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kundi la Maseneta lataka nchi yao kupitia upya Uhusiano wake na Tanzania kufuatia mauaji kwenye maandamano ya Uchaguzi 2025

    Kundi la maseneta wa chama cha Democratic katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, likiongozwa na Seneta Jeanne Shaheen, limeitaka serikali ya Marekani kufanya mapitio ya kina ya uhusiano wake na Tanzania kufuatia uchaguzi wenye utata uliofanyika Oktoba 29, 2025. Rais Samia Suluhu...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa TLS Wakili Peter Elibariki afariki kwa kupigwa risasi na Polisi Oktoba 29, 2025

    Kwa Masikitiko Makubwa tunapenda kuwataarifu kuhusu kifo cha Wakili Peter Elibariki Makundi (Roll No. 5937), mwanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Tawi la Ubungo, aliyefariki dunia kwa bahati mbaya siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, baada ya kupigwa risasi katika eneo la...
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanayopitia walimu wakati huu baada ya kushiriki kwenye uchafuzi wa kumpitisha Samia

    Watumishi wa umma hasa walimu wamekuwa na hali ngumu, wananchi walijiapiza kuwa ikiwa Samia atashinda uchaguzi huku wanajua kura hazijapigwa basi watadili na hawa watumishi wa umma walioshiriki kutia mikono yao damu Kuna mwalimu namjua binafsi kutoka Kahama, ambaye baada ya kumaliza jioni...
  15. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

    Kwenye vituo vingi watu hawakujitokeza kupiga kura kutokana na wananchi wengi kujiapiza kutoka kwaajili ya maandamano kupinga uchaguzi huo dhalimu. Kwenye sehemu ambako watu walijitokeza kwenye maeneo mengi walikuwa hawafiki 50. Sasa kufika jioni ambako wasimamizi walikuwa wanafanya...
  16. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mliokuwa karibu na wanapozika au kuchoma miili ya watu kwa wingi tupate picha/video za ushahidi

    Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti. Na hili linathibitishwa zaidi maana watu wakienda hospitali kudai maiti zao-maitti hakuna! Yaani hospitgali...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mo Ibrahim akosoa Uchaguzi wa Tanzania: Kwanini uue, kuteka na kufunga Watu kama unapendwa kiasi cha kupata 98% ya kura?

    Mmoja wa watetezi wakubwa wa demokrasia barani Afrika na bilionea, Dkt. Mo Ibrahim, amekosoa vikali jinsi uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania ulivyofanyika, akisema kuwa ni “kitendo kisichofaa na kisichokubalika” kuzuia vyama vya upinzani kushiriki. “Nadhani ni kosa kubwa na jambo lisilokubalika...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Matukio ya Utekaji yanaendelea, Watekaji wanapitia Video Clips za Maandamano na kuwatafuta watu Mtaani. Vijana kuweni tayari kwa lolote!

    Sikio la Kufa halisikii Dawa !!. Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana. Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?. Hata hili pia Muwe nalo tayari, Msigopeshwe, msirudi Nyuma!!. Njia tuloichagua ,ndio njia sahihi, Lazima tupambane...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apuuza Vifo vya Maandamano ya Uchaguzi 2025, asema waliokamatwa wametoka Nchi za Jirani

    Rais Samia apuuza Vifo vya Maandamano ya Uchaguzi 2025, asema waliokamatwa wametoka Nchi za Jirani Katika hotuba iliyojali Kejeli, hakugusia wala kutoa heshima ya waliotangulia mbele za haki. Bali amewashukuru Wagombea Urais wenzake 16 kwa kukubali matokeo. Amesema kutokana na hayo mauaji...
Back
Top Bottom