ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Anna Mghwira atagombea Ubunge?

    Bado nafikiria kuhusu hekaya ya Mh Rais kuhusu Mwananzila. Kila mtendaji wa Serikali ninayemfikiria angeliisaidia Sana CC M pale Bungeni kujenga hoja na kunusuru zile mbao za madesk ya binge yasichakae namkumbuka Mwananzila. Baada ya kuandika kuhusu kiu yangu kwa Prof Kitila Mkumbo na Antony...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Wanne mbaroni tuhuma rushwa kuwania ubunge

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Lindi, inawashikilia watu wanne, akiwamo mtia nia wa nafasi ya ubunge, Ally Chinumba (CCM), kwa madai ya kuwashawishi wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kata wampitishe kwenye kura za maoni. Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani hapa, Charles...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wamenyong'onyea baada ya ndoto za Ubunge "kuyeyushwa"

    Kiukweli angalizo lililotolewa na Rais Magufuli kwa wateule wake wanaotamani ubunge limewanyong'onyeza baadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya. Chalamila kwa mfano tulitegemea ataenda kumstaafisha mchungaji Msigwa pale Iringa mjini lakini ndio hivyo tena, nafasi yake imechukuliwa na msanii Pierre...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Madee adai marafiki wanamshawishi akagombee ubunge Kongwa na Dogo janja kugombea Arusha mjini

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai. Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia Wananchi na kumpongeza Rais...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea ubunge wa CHADEMA wale kiapo cha kutohama chama ndani ya miaka 5 vinginevyo ni bora wachaguliwe CCM

    Natoa angalizo na nina imani Mbowe na Mnyika mnanisikia popote mlipo. Ni kwamba kulikoni kutuletea sintofahamu katikati ya muhula ni bora hawa wagombea wenu wa Ubunge mkawalisha yamini au kiapo ili wasituache kwenye mataa katikati ya muhula na kukimbilia CCM. Tumechoka na habari ya kumchagua...
  6. JamiiForums Tanzania Vincent "Ray" Kigosi anafaa kugombea Ubunge

    Habarini wakuu, Natumai mu wazima wa afya njema. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada twaja. Nadhani tunamhamu bwana Kigosi ambaye wanamwita Ray. Wakuu hili halina ubishi huyu bwana ni bingwa wa movie za kuongoza makampuni na kukaa ofisini. Na hata ukimsikiliza pindi akiwa ameshika uhusika...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Joachim Marunda Kimaryo (maarufu kama Master J) atangaza nia ya kugombea ubunge Rombo

    Muandaji muziki maarufu Joachim Marunda Kimaryo (Master J) ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Rombo akiwa kwenye mahojiano katika redio ya Clouds FM kwenye kipindi cha XXL. Master J amenukuliwa akisema "Mimi nipo CCM tangu zamani, natangaza nia, uchaguzi wa mwaka huu, Chama kikinipa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wanaogombea Ubunge 2020

    1.HARMONIZE Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM 2.SHILOLE Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM 3.STEVE NYERERE Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM 4.KINGWENDU Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia: Tarehe 14/07/2020 nitatangaza jimbo nitakalogombea Ubunge, wananchi tulieni!

    Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amesema tarehe 24 Julai atatangaza jimbo atakalogombea Ubunge kwani kwa sasa kipyenga ndani ya chama bado hakijapulizwa. Dkt. Tulia Ackson amekuwa akihusishwa na majimbo ya Mbeya Mjini na Kawe ambayo Wananchi wameonesha kutaka mabadiliko ya wabunge. Chanzo: Clouds...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

    Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa. Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kingwendu atia nia ya ubunge Kisarawe, aapa kumng'oa Jaffo!

    Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa nchini, Rashid Mwinshehe maarufu kama "Kingwendu" amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo Maendeleo hayana vyama! Kingwendu amesema anagombania...
  12. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

    Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli. Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM isiwatupe wana Chadema na wapinzani wengine walioenda huko, itawamaliza kisiasa, wapewe nafasi 40 ubunge

    Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli. Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina. Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Baraza la Uongozi la CHADEMA Mkoa wa Mbeya lakutana na watia nia wa Ubunge na Udiwani

    Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa kumekucha , na kwamba kama kuna anayedhani ccm itaambulia chochote Mbeya basi bila shaka atakuwa amelogwa
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: TAKUKURU inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa kwa kugawa rushwa ili achaguliwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum

    Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Kule Moshi manispaa diwani wa CCM kata ya pasua na boma mbuzi wagawa vifaa vya covid 19 ikiwa no sehemu ya rushwa kampeni za ubunge

    Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati huo huo wakiomba Kura za ubunge .wakati huo huo wafuatao wako mitaani kuomba Kura na kugawa rushwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ubunge sio the Comedy; Kwako Steve Nyerere

    UBUNGE SIO THE COMEDY Na, Robert Heriel Ujumbe huu ni mchungu lakini naomba ufike kama nilivyokusudia, pengine maneno yake yakawa makali. Hivyo natoa angalizo; Kama unaroho nyepesi na mihemuko ya karibu tafadhali usisome. Kuna kitabia cha kipuuzi Baadhi ya wasanii wanacho, yaani mtu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wa CCM tujitokeze kwa wingi kuchukua fomu za kugombea ubunge na udiwani 2020, chama kimetoa fursa

    Kidumu Chama cha Mapinduzi Napenda kutumia fursa hii kuwasihi na kuwahimiza vijana wa Chama Cha Mapinduzi tujitokeze kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi za kuteuliwa na chama chetu ili kugombea nafasi za kuwakilisha wananchi katika ngazi ya ubunge na uduwani, nawahimiza vijana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Iringa kama CCM mmekosa mgombea ubunge, basi tutamuomba Kasesela agombee akatuwakilishe bungeni

    Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo. Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi. Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi kugombea, niseme tu Iringa hatutarudia makosa kama CCM mmechemka kabisa; hata Salim hana nia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…