Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia: Tarehe 14/07/2020 nitatangaza jimbo nitakalogombea Ubunge, wananchi tulieni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,958
141,951
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amesema tarehe 24 Julai atatangaza jimbo atakalogombea Ubunge kwani kwa sasa kipyenga ndani ya chama bado hakijapulizwa.

Dkt. Tulia Ackson amekuwa akihusishwa na majimbo ya Mbeya Mjini na Kawe ambayo Wananchi wameonesha kutaka mabadiliko ya wabunge.

Chanzo: Clouds media!
 
Namshangaa huyo shauri wa Tulia aisee maana hakuna anachomshauri cha maana bora hata angetuliwa awe tuu wa viti maalum.
anadhani usomi wake ndio kigezo hakubaliki hata kwa kalumanzila
 
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amesema tarehe 24 Julai atatangaza jimbo atakalogombea Ubunge kwani kwa sasa kipyenga ndani ya chama bado hakijapulizwa.

Dkt. Tulia Ackson amekuwa akihusishwa na majimbo ya Mbeya Mjini na Kawe ambayo wananchi wameonesha kutaka mabadiliko ya wabunge.

Chanzo: Clouds media!
Yani ajenge nyumba Mbeya halafu akagombee kwingine bwashee.
 
Badamu batachuruzika Mbeya, unajua huyu dada kawakamata sana wamama wa Mbeya, kiukweli safari hii Boss Sugu asitumie pesa ya kiinua mgongo kufanyia kampeni, ATAJUTA
 
Alisha tangaza muda mrefu kwa vitendo vyake
Sio kutangaza tu, alishaanza kampeni mapema tu. Sema ndio hivyo tu, sisiemu, tume ya maadili (madili?) na tume ya uchaguzi waliamua kufumbia macho.
 
Back
Top Bottom