ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Korea kama hauna degree haupewi mke, Ifike mahala kama hauna degree usigombee ubunge

    Habari wadau..! Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's . Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati...
  2. Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...
  3. Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

    Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
  4. Babu Tale jipange sana awamu hii; awamu ijayo usiuwaze Ubunge

    Kuna muda huwa najiuliza tu kama watanzania tulianza anzaje kuwa na mbunge kama Babu Tale Mwendazake alifanya kazi ya ubunge iwe ni kama kazi ya kubeti tu. Wanatangaza nafasi mwenye pesa anachukua Form mwenyekiti akimkubali basi ndio anakuwa mbunge, maana hakuna uchaguzi wa haki uliotokea...
  5. Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

    Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
  6. Ndugai, suala la Ubunge wa Mdee kubalini makosa ili myasahihishe na mheshimike

    Katika Awamu hii ya Mama Samia , ingalau Rais anajaribu kurudisha conscience ya jamii, kisiasa kuheshimu ukweli na uungwana. Suala la Mdee na wenziwe 18 kuwepo Bungeni kwa barua za kughushi linamuondolea heshima Ndugai. Leo akisimama na majoho yake ati kutetea ukweli wa kitu fulani au issue...
  7. J

    Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

    Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!! Haki gani wanayoidai hawa Chadema? Mbona...
  8. R

    Ubunge wa kubebwa ndiyo chanzo cha Spika Ndugai kuwaelekeza Wabunge?

    Ukisikia Bunge halina mvuto ni Bunge hili lililosheni wabunge wengi wa CCM, wabunge wa upinzani kiduchu Sana, wabunge hewa kama wanavyojulikana covid-19. Mvuto umekosekana hata kama Bunge ni live Wananchi hawafuatilii mijadala Bunge kama ilivyokuwa enzi Samwel Sitta au Anna Makinda. Wabunge...
  9. N

    Je, Mawaziri nao hulipwa mishahara na posho za ubunge au wao wana mishahara tofauti?

    Hebu tujadili hili Je, ukiwa Waziri unakuwa unalipwa mishahara na marupurupu ya ubunge na kisha unaongezewa na ya Uwaziri au inakuwaje hapo?
  10. Serikali iangalie upya sifa za kugombea ubunge

    Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma. Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four. Ndugu zangu ni ushauri tu. Ninyi...
  11. GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  12. Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  13. S

    Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

    Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi. Japo mini si kiongozi...
  14. J

    Suala la Halima Mdee na wenzake linafanana sana na lile la mbunge Kihiyo wa Temeke 1995, hatimaye Kihiyo alipoteza ubunge

    Sisi wahenga tukiliangalia tukio la wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee tunaweza kulifananisha na lile la mbunge wa Temeke 1995 mh Kihiyo. Kihiyo siyo kwamba hakusoma shule, No alisoma isipokuwa alicheza na makaratasi ili aonekane almaarufu wakati sifa ya mbunge ni kujua...
  15. Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  16. Dkt. Bashiru Ally jiuzulu ili kulinda heshima yako, kupewa Ubunge wa kuteuliwa ni kudhalilishwa

    Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie uvute naye siku hata miezi sita. Lakini ndani ya mwezi na siku kadhaa ukawa umeg'olewa. Ok sio...
  17. Q

    Isingekuwa Ubunge, Halima na wenzake 18 waliofutwa uanachama CHADEMA wangehamia CCM leo Aprili 30, 2021

    Pamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa kawaida au wajiunge CCM. Tatizo kubwa linalowasumbua vichwani ni kupoteza ubunge wao, kungekuwa na...
  18. Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

    Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa. Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara...
  19. Darasa la Saba na Ubunge

    Habari wanajukwaa, Nimekuwa nikijiuliza Maswali mengi sana juu ya utumishi wa wabunge ambao ni darasa la saba. Muongozo wa ajira Serikalini ni kwamba wanaajiri kuanzia kidato cha nne na kuendelea, kama huna cheti cha form four huna sifa ya kuwa mtumishi wa umma. Ninavyoelewa mimi inawezekana...
  20. A

    Ni wakati Mwafaka sasa wa kufanya amendment kwenye sifa ya elimu kwa mgombea ubunge, badala ya kujua kusoma na kuandika, twende mbali zaidi

    Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili. Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…