ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

    Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea ubunge. Nikajitosa katika mchakato wa ndani ya chama, kuomba ridhaa ya wanachama nipeperushe bendera ya...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wasaka Ubunge Jimbo la Mwanga waanza kumwaga pesa

    Makada wawili wa Chama cha Mapinduzi(ccm)wanaotajwa kuusaka Ubunge wa Jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro,wanadiwa kuanza kilumwaga pesa kwa watu wanaominika kuwa ni wajumbe wenye kuamua kura za maoni. Taarifa kutoka Mwanga zinapasha kuwa makada hao wanapishana huku na kule kusaka ushawishi wa...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Je, kuna rekodi zozote za Mbowe kulaani posho na mishahara mikubwa ya ubunge pindi CHADEMA ikiwa na wabunge wengi bungeni?

    Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao. Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu. Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na Wabunge

    Kuna haja ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na ubunge, mbunge anapopewa jukumu la Uwaziri au Naibu Waziri jukumu kubwa atakalolitimiza Kwa moyo mmoja ni kufuata Rais anataka Nini, hivyo inapelekea kushindwa kutimiza majukumu yake ya kibunge ipasavyo ikiwemo kutembea jimbo lake ili...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

    2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea Ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi wafurahia DC Katwale kuhamishwa. Wadai alijikita kufanya kampeni za ubunge kuliko kutatua kero zao

    Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari. Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani. Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa. Yeye kikubwa...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wanachadema wengi tunapiga mahesabu ya kupata ubunge 2025. Tukimwagwa na wananchi tusingizie kuibiwa kama 2020

    Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu. Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure. Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa. Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Habari. Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile. Huyu mzee alikuwa na bahati sana Nawasilisha
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

    Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025. Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu. Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu. Hivyo...
  11. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Ubunge Moshi Vijijini 2025 pamoto

    Harakati za chini kwa chini za kuwania jimbo la Moshi vijijini zimeanza kwa kasi ya kutisha huku zikizongwa na siasa za kuchafuana kwenye mitandao ya Kijamii. Mbunge wa Sasa wa jimbo Hilo ,Profesa Patrick Ndakidemi anazongwa na upinzani mkali kutoka kwa makada wenzake ambao wameanza kujijenga...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina cha kujifunza kwa CCM kwenye demokrasia ya kuwapata wagombea ubunge

    Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bob Chacha Wangwe atangaza kugombea ubunge Tarime Mjini, asema 'ana soda' kwa ajili ya wajumbe!

    Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" . Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Milioni 300 zinakaribia pensheni ya Ubunge

    Ukatae 300m TZS halafu usubiri pensheni 400m TZS baada ya miaka mitano? Halafu hizo 300m zinafananaje?
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

    Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti Toa maoni yako
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Paulina ukifukuzwa uanachama CCM kimbilia Mahakamani ukazuie ubunge wako kama wale akina Mdee

    Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako. Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia atakuwa mbunge wa kwanza Tanzania nzima kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo...
Back
Top Bottom