ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

    Sisi tunakuombea Tutakusapoti Tutakulinda
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

    1. Lisu 2. Mbowe 3. Boniface Jacob 4. Ongezea na wewe
  3. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: IKIWA ATAKOSA FURSA YA KUGOMBEA URAIS DR.WILBROAD P. SLAA KUGOMBEA UBUNGE

    na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema, duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
  5. Informer

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

    Nape akijigamba: Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Chikulupi...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

    Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha. Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na...
  9. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi wa kutisha kupitia sukari ulioibuliwa na Mpina litamuangusha ubunge Spika

    Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa 2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
  11. Frajoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wenye elimu ya msingi wasigombee nafasi za Ubunge

    Dibaji. Maisha ya Tanzania kwa miaka 30 nyuma hayalingani hata kidogo na maisha ya sasa katika kila eneo, iwe kimazingira, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia, mitindo ya maisha na kilakitu.Na hii ni kwa dunia nzima, ndio maana kuna kitu kinaitwa historia, tafsiri yake ni kwamba maisha hubadilika...
  12. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wauwa demokrasia kupewa kubali na ubunge ni ajabu!

    Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kugombea ubunge Singida 2025

    Taharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥... Ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina, kujiridhisha na kuthibitisha kwamba, mazingira ya chama chake si rafiki na hayampi matumaini, hamasa, wala...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

    Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) kauli hii inaweza kukosesha Ubunge

    Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake. "Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu". Mwamba ameongea ukweli hapa! WATU MPAKA WAFE NDIO...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ananilea Nkya: Nafasi za ubunge wa Viti Maalum zifutwe kwa sababu zimeanza kutumika isivyostahili. Zilianzishwa ziwe za Mpito sio za kudumu

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Dk Ananilea Nkya amesema nafasi za ubunge wa Viti Maalum zilianzishwa kwa kipindi cha mpito kutokana na uwakilishi mdogo wa wanawake. Dkt Nkya amesema hali imebadilika tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 (miaka 42), wanawake wametumia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Uwakilishi wa ubunge utokane na idadi ya watu

    Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye watu wengi sana. Utaratibu wa wabunge inabidi ubadilike. Hili halina Chama ni usawa na haki kwa raia...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini. Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa...
Back
Top Bottom