ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Hezekiah Wenje Bunge la 11 yaani 2015-2020 Lissu ubunge wake ulifutwa na alikuwa hospitali angechangiaje?

    == Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11. Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni? Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Endapo Tundu Lissu atashindwa kupata fursa ya kuwa mwenyekiti CHADEMA taifa. Plan B, atangombea Ubunge Singida, na kujipanga kugombea Urais 2030

    Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake, Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aubrey Silayo mtumishi wa TRA anayefanya ulaghai kusaka ubunge Vunjo

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Urais mwaka 2025 joto kumeanza kuchangamka maeneo mbalimbali ya Nchi kwa watu wenye nia ya kujitosa kwenye udiwani au ubunge kuanza kupitapita. Moja kati ya maeneo yanayoshuhudia vikumbo vya wenye nia ya ubunge ni Jimbo la Vunjo ambako moja kati ya...
  4. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ubunge viti maalumu - Wadau wataka ukomo wa muda

    Chanzo gazeti la Mwananchi la leo Nini maoni yako Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake na pesa zake ndio zinamfanya awe na kiburi. Hakuna mtu aliyezaliwa kutawala milele watu wanazaliwa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ubunge uwe na ukomo kama ambavyo raia wengi wanapendelea, watu wanazeekea katika nafasi za ubunge

    Wakati wanafanya mabadiliko ya katiba na kuweka ukomo wa miaka 10 kwa vipindi vya mihula miwili vya Urais ni wazi walisahau kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge, sasa tuna wabunge wengi waliokaa miaka zaidi 15 bungeni. Ni Wakati sasa wa kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge katika katiba yetu...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Hatuhitaji tena ubunge wa viti maalumu, sio suala la ukomo tena, wanawake sasa wana uwezo

    Tundu Lissu pamoja na kupendekeza ukomo wa viongozi katika chama cha CHADEMA amependekeza suala la ukomo wa ubunge na udiwani, Viti maalum CHADEMA. Lissu anasema ubunge wa viti maalum ilikuwa kuwajengea uwezo wanawake wa kushiriki katika siasa lakini kwa ubovu wa katiba yetu haikuweka ukomo...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Professor Jay: 2025 Nakuja kuchukua ubunge wangu, Mapambano yanaendelea

    Joseph Haule (Prof Jay), akizungumza na baadhi ya wananchi kwenye moja ya mikutano ya kampeni Jimboni Mikumi mkoani Morogoro, kuelekea uchaguzi na Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024 Soma pia: Joseph Haule (Professor Jay) arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi ya Kupiga Kampeni ya Kugombea Ubunge Tanzania

    Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo: 1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu Mussa Magege anayewania ubunge Chato ataweza kupambana na miamba kama Kalemani au Katwale na wenzake? Nasikia anajipigia chapuo chinichini.

    Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini. Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi. Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

    Salaam Wakuu, Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda

    Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na mkutano mwingine wa chama hicho uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi huu Novemba. Kulingana na barua...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

    Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo. Amesema mbunge aliyepo kwa sasa...
  15. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  16. TUMSUMINGULIVI

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kugombea Ubunge Dodoma Mjini?

    Natarajia kuja kuishi Dodoma mjini Mwakani na Kugombea ubunge 2025.. Wana JF nipeni mbinu nawezaje pata ubunge pale Dodoma kupitia CCM
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Elimu nafasi ya Ubunge iwe angalau Degree, Waziri awe mtaalamu na mwenye uzoefu wa kutosha kwenye sekta husika

    Wakuu, Hivi kwanini tunaendelea na kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwa wanasiasa ambao baadae wanakuja kushika nafasi kubwa ambazo zinahitaji mtu awe na upeo na mkubwa? Huku ndio tunapata watu ambao ukiwawekea kengele tu kule mbele wanakuwa kama nyumbu bila kujali lolote. Tunakazana na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

    Nimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile kujiuzulu ubunge Februari 2025 atakapothibitishwa rasmi kuwa Mkurungenzi mpya wa WHO-Afrika

    Dkt. Faustin Ndugulile (55) ametangaza adhma kuachia ngazi nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kigamboni baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika. Alitoa umauzi huo wa kuachana na kuwatumikia wapiga kura wake wa jimbo la Kigamboni leo jioni Septamba...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baada ya CCM kuchukua manispaa ya Moshi (umeya) na ubunge 2020 maeneo karibia yote ya wazi yamechukuliwa

    Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa...
Back
Top Bottom