Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,329
8,246
Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025. Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu.

Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu. Hivyo watanzania wenzangu wenye nia kama hiyo msiogope. Mkiendelea kuogopa taifa letu haliwezi kupata maendeleo mnayoyataka.

Mkiogopa mambo hayawezi kuwa vile mnavyotaka. Mabadiliko ya kweli yanatakiwa yaanze nawewe mwenyewe. Hivyo nimeandika mada hii nikiwa mwenye nia thabiti ya kugombea ubunge jimbo la Mbozi.

Kama Kuna wengine pia wanaogombea naomba tukae hapa tujadili mikakati, changamoto na faida mbalimbali za kugombea ubunge.

Tujadili ni jinsi gani tunaweza kupambana na changamoto hizo na kwa kutumia mikakati ipi. Lakini tusisahu faida tutakazo zipata mara baada ya kugombea. Lakini pia ni changamoto zipi wanazopitia wabunge huko bungeni.
 
Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025.

Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu.

Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu.

Hivyo watanzania wenzangu wenye nia kama hiyo msiogope.

Mkiendelea kuogopa taifa letu haliwezi kupata maendeleo mnayoyataka.

Mkiogopa mambo hayawezi kuwa vile mnavyotaka.

Mabadiliko ya kweli yanatakiwa yaanze nawewe mwenyewe.

Hivyo nimeandika mada hii nikiwa mwenye nia thabiti ya kugombea ubunge jimbo la Mbozi.

Kama Kuna wengine pia wanaogombea naomba tukae hapa tujadili mikakati, changamoto na faida mbalimbali za kugombea ubunge.

Tujadili ni jinsi gani tunaweza kupambana na changamoto hizo na kwa kutumia mikakati ipi.

Lakini tusisahu faida tutakazo zipata mara baada ya kugombea.

Lakini pia ni changamoto zipi wanazopitia wabunge huko bungeni.
Unagombea kupitia chama gani ?
 
Back
Top Bottom