uamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa uamuzi huu sasa Urusi kumaliza vita kwa haraka

    Kuanzia sasa meli yoyote itakayokatiza bahari nyeusi kuelekea Ukraine itachukuliwa kana kwamba imebeba silaha kwaajili ya Ukraine na inaweza kushambuliwa. Hatua hiyo ya Urusi imekuja siku mbili tu baada ya kujitoa kwenye mkataba wa usafirishaji wa nafaka uliosimamiwa na Umoja wa mataifa pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania Balozi Karume: Niko tayari kupokea uamuzi wowote utakaotolewa na CCM dhidi yangu

    Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Ali Abeid Karume amehojiwa na Kamati ya Maadili ya chama hicho na kuweka wazi kwamba yupo tayari kupokea uamuzi wowote utakaochukuliwa dhidi yake. Hali hiyo imefuatia baada ya kauli yake ya hivi karibuni...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Hakuna haki bila uwajibikaji, Hakuna uwajibikaji bila uamuzi, Hakuna uamuzi bila uhuru

    HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI, HAKUNA UWAJIBIKAJI BILA UAMUZI, HAKUNA UAMUZI BILA UHURU. Uhusiano kati ya Haki, Uwajibikaji, Uhuru na Uamuzi: Kuelewa umuhimu wake katika Maendeleo ya Jamii Na: MwlRCT I. UTANGULIZI Haki, uwajibikaji, uhuru na uamuzi ni mambo ambayo yanashirikiana kwa karibu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Upi ni uamuzi sahihi baada ya Kung'oa jino?

    Habar wadau, Kuna wakati ukifika mtu unang'oa jino una miaka lets say 32. Je, upi ni uamuzi sahihi? Nimefuatilia nimesikia kuwa jino pekee lunaloweza kuota tena ni deduced teeth na sio permanent teeth deduced tooth yale meno ya watoto stem cell inakuwa ipo juu ya fizi so likitoka linaota...
  5. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Je, Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu au mkakati ulioshindwa (Strategic Failures)? hili ni swali linahitaji majibu. Sababu mojawapo iliyotolewa na Russia kwa kuhalalisha uvamizi wake nchini Ukraine ilikuwa ni Ukraine kuwa na mpango wa kujiunga EU na baadae NATO. Russia/Putin alitaka...
  6. JamiiForums Tanzania 2025 Tanzania tunatakiwa kufanya uamuzi wa busara sana

    Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na busara kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo katika hili taifa. Ukisikiliza bunge, ukiona...
  7. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Samia kutumia sheria ripoti ya CAG ni bora kuliko uwajibikaji wa kisiasa tuliozoea

    Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo." Maagizo...
  8. JamiiForums Tanzania Nabii Musa hajawahi kumtaja Shetani mahali popote katika maandishi yake; Uasi ni uamuzi wa MTU na sio Shetani

    NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
  10. JamiiForums Tanzania Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

    Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
  11. JamiiForums Tanzania Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  12. JamiiForums Tanzania Baraza la Ulamaa latengua uamuzi uliovunja Ndoa ya Dkt. Mwaka

    Uamuzi huo umetolewa baada ya Baraza hilo kukutana kwa dharula na kutamka kuwa Ndoa ya Juma Mwaka Juma ‘Dr Mwaka’ na mke wake Qeenie Oscar Masanja haijavunjika kwa kuwa kuna malalamiko yaliyopelekwa katika Ofisi ya Qadhi. Taarifa ya Baraza inakuja ikiwa ni siku chache tangu Kikao cha Kamati ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

    Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990. Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.
  14. JamiiForums Tanzania Jalada la wanaodaiwa kuchana Tsh. Bil 4.6 za BoT lasubiri uamuzi wa DPP

    Jalada la kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), lipo mezani kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa ajili ya kupitiwa na kutolewa maamuzi. Kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matano, likiwemo la kuharibu noti 4.6...
  15. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi walikuwa wakiigharimu Twitter Tsh. Bilioni 9.3 kwa siku, Elon Musk asema ni sahihi wafukuzwe

    Mmiliki huyo mpya wa Twitter ametetea kufutwa kazi kwa takriban nusu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo, akisema "hakuwa na chaguo" kwani Twitter ilikuwa ikipoteza zaidi ya Tsh. Bilioni 9 kwa siku. Bilionea huyo alisisitiza katika ukurasa wake wa twitter kwamba wote waliopoteza kazi walipewa malipo...
  16. JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

    Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo. Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Biden aagiza kuachiwa mapipa milioni 10 ya mafuta baada OPEC kutangaza kupunguza uzalishaji

    Biden amesema uamuzi huo haujatazama mbali na hivyo atalishawishi Bunge la Congress lijaribu kudhibiti ushawishi wa kundi linaloongozwa na Nchi Zinazozalisha Mafuta kutoka Mashariki ya Kati ikiwemo Saudi Arabia. OPEC na washirika wake wanaojulikana kama OPEC+, wamekubaliana kupunguza uzalishaji...
  18. JamiiForums Tanzania Ijue Mahakama ya Afrika Mashariki, Kwanini Hukumu Zake Hazina Rufaa na Kwanini Zina Puuzwa na Baadhi ya Nchi Washirika Sisi Tanzania Tukiwemo?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya leo, kazi inaendelea... Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambako mwanasheria wako, Wakili Pascal Mayalla, anakuzamisha kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura. Leo tunaenda SURA...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Asema uamuzi wa Rais Ruto kuwateua Majaji 6 inalenga 'Kuteka' Idara ya Mahakama

    Kiongozi huyo wa chama cha muungano cha Azimio la Umoja One Kenya, anadai kwamba hatua ya hivi karibuni ya Rais William Ruto ya kuwateua majaji sita ambao walikataliwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta ililenga kudhibiti Idara ya Mahakama. Akizungumza katika Kaunti ya Machakos siku ya Ijumaa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haikufuata utaratibu uliopo kikatiba katika maamuzi wa kuwatoza wananchi tozo kwenye miamala ya kielektroniki

    Wanabodi, Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…