Upi ni uamuzi sahihi baada ya Kung'oa jino?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau,

Kuna wakati ukifika mtu unang'oa jino una miaka lets say 32. Je, upi ni uamuzi sahihi?

Nimefuatilia nimesikia kuwa jino pekee lunaloweza kuota tena ni deduced teeth na sio permanent teeth deduced tooth yale meno ya watoto stem cell inakuwa ipo juu ya fizi so likitoka linaota lengine petmanent tooth ni meno ya watu wazima stem cell ipo ndani ya jino so ukiling'oa imetoka hiyo.

Source ya stem cell ni vijusi vya watoto ambao hawajazaliwa na sio mahali pengine popote bado kuna research xinaendelea uko mbelen watu wataweza kuimplant stem cell katika fizi na kufanya jino liote tena hata kama umri umeenda. Kwahiyo option ya kufanya jino liote upya kisayans bado ni utata.

Sasa ipi ni option sahihi, kuimplant artifical teeth? yaani wakutoboe taya waweke screw? vipi ikitokea mmegombana wa watu ukapigwa ngumi jiwe sehemu yenye hiyo artifical tooth?
 
primary, deciduous or milk teeth


Mkuu, ushauri wangu, ukishang'olewa jino, ukafanyiwa artificial implant, usikimbilie tena kugombana wasije wakakupiga jiwe sehemu yenye jino bandia.
najua hilo mkuu ila nch majanga hayataborikiwa lazimq tupate good solution

vp je zipo njia za asili kufanya jino liote upya
 
Back
Top Bottom