ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira za ualimu

    Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

    Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa. Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kila Mwanafunzi kutumia Komputa yake katika Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali ilikuwa Kumputa moja kwa Wanafunzi 28. Ameyasema hayo tarehe 05 April 2022 Jijini Dar wakati wa Ugawaji...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu umenipa mtaji,

    Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua...
  7. nyahinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Habari JF, Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili kazi kutoka kuwa mwalimu na kuwa afisa lishe wa wilaya. Nimesoma BSc. In human Nutrition lakini pia nikasoma postgraduate diploma in education. Kwa Sasa nafanya kazi kama mwalimu, Ila nataka kuhamia kwenye field ya mwanzo. Yaani nataka nifanye...
  8. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Maoni: Kutokana na ongezeku kubwa la walimu walioko mtaani, napendependekeze udahili wa idadi ya walimu wanaojiunga kusomea ualimu upunguzwe.

    Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu. Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
  9. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa ajira za ualimu utachukua muda gani mpaka ajira kutangazwa?

    Wakuu kwema. Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi. Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza. Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
  10. blogger

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

    Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range New Government Salary Scales: Approved TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Taaluma za kuheshimika na muhimu ni hizi sita (6) tu

    Si zaidi ya hapo; ni kama ifuatavyo:- 1. Mwalimu Waelimishaji waliohitimu kwa viwango stahiki wanahitajika sana, na ikiwa utahitaji kujenga jamii imara walimu ni kundi muhimu na la lazima. Ili vijana waweze kubadilisha ulimwengu na taifa, basi hii ndiyo taaluma ya muhimu na ya lazima popote...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu. Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajali mbele ya Chuo cha Ualimu Butimba

    Wanabodi Kama isomavyo "tetesi", nikiwa mazingira ya butimba chuoni leo kwa usafiri wa bodaboda, nimetaarifiwa kwamba wakati wanachuo wakiwa mchaka mchaka alfajiri, baadhi yao wamegongwa na daladala. Sijui ni mazingira ya namna gani, imetokea vipi na ni kwa namna gani wanafunzi 2 wamefariki...
  14. John Ndeki

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Ualimu Journalism & International relations TAEATI

    Haiya sasa karibuni vijana wenye sifa tajwa hapo kwenye Tangazo halijachakachuliwa wala nini... Ooh sijui tayari watu walishapatikana tangazo linapostiwa kutimiza wajibu, alafu wengine Tz wanatabia chafu sana kama hiyo
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mitoto mingine sijui ikoje? Kazi ya ualimu ni ngumu sana aisee

  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  17. msovero

    JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

    Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja. Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa. Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
  19. Twyn

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

    Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG. Asanteni Sana
Back
Top Bottom