ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Tamisemi tunaomba angalau mwaka huu muwachukue Waliosoma Postgraduate Diploma Ualimu kwa Makubaliano

    Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha? Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa Kozi nyingine...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  4. Blender

    JamiiForums Tanzania Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

    Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
  5. choza choza

    JamiiForums Tanzania Je, Ualimu ni daraja la mwisho kwa utumishi?

    Kuna kitu kinaitwa re categorization, huwa mara nyingi naona watu wanatoka ualimu kwenda uhasibu, uchumi, uanasheria, nk ila ni nadra sana kusikia mtu anaomba recategorization atoke uhasibu, uchumi nk kwenda ualimu. Sababu ni nini hasa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu ni taaluma mama inayohusika moja kwa moja na kujenga taifa lakini inasulubiwa. Hali hii itaisha lini?

    Habari Wana JF Hope wote ni wazima, kwa upande wangu Mimi ni mzima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa miaka mingi sasa taaluma ya ualimu imekuwa ikichukuliwa kama taaluma dhaifu, taaluma hii imedharaurika kwa muda mrefu. Maisha ya walimu ni duni sana, maslah ya walimu bado yapo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya ajira za ualimu

    Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA. Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv; 📌📌📌Mwalimu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu ni kazi au ni wito?

    1. Kishikwambi cha msaada, vingi vimezimwa hamuna bando. 2. Hakuna safari wala posho. 3.Kusimamia mtihani posho ya elfu 40 wapo tayari kufanyiana figisu. 4. Kusahihisha mtihani posho haizidi laki 5 hapa sasa ni kizaizai nusu afe mtu. 5. Kwenye uchaguzi wanatumika kupinduapindua meza kwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma computer science pia nina uzoefu wa ualimu

    Habari ndugu zangu!! Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana. Elimu: Degree ya Computer Science UWEZO 1. Programing (C++, Python, Visual basic) 2. Computer Mantainance and troubleshooting 3. Photocopy Mantainance and troubleshooting 4. Printer Mantainance and...
  10. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo. Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au...
  11. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

    Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana. Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa. Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni...
  12. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ualimu primary school - Taifa international school

    TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED Job Summary We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam Recommended: Minimum Qualification: Certificates Experience Length: No Experience/Less than 1 year Job Overview A full-time permanent Teacher...
  13. ajent45

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  14. Man from cuba

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Yusuph na dhana nzima ya Ualimu ni wito

    Huyu ni mwl Yusuph, mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za Nyerere
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Kazi ya ualimu aisee ni ngumu sana kuanzia mazingira, ufanisi wa kazi pia mishahara ni ya kawaida tofauti na kazi inayofanyika. Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana-deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Ualimu (Kisw & History) inahitajika

    Wapendwa Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History) Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
  17. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Bocco anakaimu ualimu wa viungo Simba

    Kapten wa Simba John Bocco anakaimu majukumu ya Kocha wa Viungo tangu aondoke mwalim wa viungo. Hilo limekuja baada ya John Bocco kuhitu mafunzo ya ukocha wa awali ya viungo. Wachezaji wenzake wanafurahia mafunzo yake. Hii ni kwa wale waliokuwa wanauliza kwanini Bocco asiondoke Simba?
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Mwalimu ana jukumu muhimu katika kuunda haiba ya vijana na kuwatayarisha kuwa raia wazalendo na wanaowajibika. Kando na kazi za kufundisha darasani, mwalimu pia anatarajiwa kuchukua nafasi ya mshauri, kiongozi na mlezi kwa wanafunzi. Lakini pamoja na umuhimu huo, bado kuna mtazamo hasi dhidi...
  19. PLOII

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi za Ualimu (12)

    Hello teachers! our organization is working closely with private and government schools, we admire to serve young people who possess marvelous performance in the learning and teaching field. The organization is recruiting teachers on behalf of private schools in Tanzania's Mainland. The...
  20. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
Back
Top Bottom