Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja.
Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa.
Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education
Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo.
Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba.
Mwanafunzi ana CEE ya CBG.
Asanteni Sana
UTANGULIZI
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari. Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha Sita wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya...
Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo:
Vyuo:
1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE?
Matokeo:
2. Nini maana ya distinction na credits. Na nini hatima ya waliopata distinction na credit?
3. Pass inaanzia pointi...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya Tamisemi chini ya waziri ummy, katibu mkuu na wote waliohusika kwenye mchakato mzima wa uchambuzi na utoaji ajira
Ofcourse wanastahili kupewa pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kwani kwa asilimia kubwa wametenda haki kwa waombaji hasa kwa kutoa kipaumbele...
Wakuu,
Naona awamu hii baada ya TAMISEMI kubanwa mbavu dhidi ya janjajanja za ajira za walimu na kada ya afya, sasa wameamua kuja kivingine na wengi hawawezi ng'amua kirahisi
Itakumbukwa kipindi cha Jk ajira za ualimu na afya zilikuwa zinatolewa kila mwaka na watu walikuwa hawa-apply yaani...
Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo
Kazi iendelee....
Kada ya ualimu ndio imebeba idadi kubwa ya watumishi. Mwaka 2015 pekee waliajiriwa walimu wengi sana kwa mkupuo na hao hawalupanda madaraja kwa takribani miaka 6
Sasa taarifa iliyo toka hivi karibuni ni kuwa wamepandishwa watumishi kama sabini elfu hivi.
Je, utakuwemo?
Pia, sio mbaya kuleta...
Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo.
Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini) kabla ya vyeti kitoka. Na nilipokuwa huko nilipishana na deadline ya kutuma hizi ajira za juzi...
Habari wana JF mimi ni binti wa miaka 24 natafuta kazi ya aina yoyote ile nitafanya iwe tu halali.
Elimu yangu nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani literature na linguistic UDSM.
Lakini nitafanya kazi yoyote itakayopatikana naombeni msaada wenu tusaidiane...
Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu
Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
Hivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za kulipia. Cha ajabu haijaelezwa muombaji anatakiwa kulipia shilingi ngapi!Mwenye ufahamu msaada tafadhali
HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU
Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU kudai uhuru zilipopamba moto.
Huu ni Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) na unaokatiza ni Mtaa...
Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa kunisupport,
NAHITAJI support,
Contact,
Email. wilsonmwamakalapya@gmail.com
Whatsup: +25576736103
Ajira za Ualimu zimetangazwa na Vijana wengi wameanza kuchangamkia Ajira ili waende kulitumikia Taifa na kuendeleza taaluma zao, lakini Walimu waliopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, Hesabu na Mengine Kidogo.
Ila Walimu wa Masomo ya biashara yaani Book Keeping na Commerce wametengwa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.