ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotarajia kuanza kusoma program za Ualimu 2024

    Leo 13/07/2024 matokeo ya kidato cha sita yametoka na ufaulu ni 99.43% Nawapongeza waliofaulu, lakini pia nawaasa kuwa makini sana katika kuchagua program za kusoma, maana matokeo mazuri ya kidato Cha nne na sita hayatokuwa na maana sana endapo ukifeli kuchagua program ya kusoma chuo. Kwa...
  2. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira za ualimu tulizopewa ahadi vipi huko (TAMISEMI 2024)

    Hivi mmesikia chochote kuhusu hizi ajira zilizoahidiwa kutolewa mwaka huu, maana TAMISEMI naona wapo kimya Taarifa za awali tulizisikia muda mrefu na tukaambiwa mpaka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ameshatoa kibali na kusaini ili ajira zitolewe mbona kimya sasa jamani Kiukweli sina imani...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo. Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
  4. FK21

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu nazo zinapaswa kuangaliwa ajira portal?

    Wakuu naomba kuuuliza Hadi UALIMU nao AJIRA zinatumwa uko tena NI nafasi 158 tu au nmekosea kuona mwenye uzoefu atueleze kuhusu Hilo tafadhali
  5. More Chances

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

    Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira. Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  7. Optimists

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo. Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza...
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Elimu ya kwamba walimu wafanye mtihani kabla ya ajira ni ya udhalilishaji

    Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika! Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa! Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba waliangalie hili kwa umakini! Mimi ni miongoni mwa watu waliohitimu mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
  11. Makox

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya ajira ya Ualimu Tanzania

    KUMBUKUMBU Ni heri kukumbuka kwa kuwa tunao ubongo, mwezi march 2013 ndipo ilianza safari, ni safari ya Abunuasi ya kusubir kustaafu! Naacha ndugu zangu, na mali zao za thamaniiii, mashamba na vinyungu nikiwa ni mwenye nguvu. Siendi tena site kwenye kazi zangu za ujenzi kwa Santona naachana na...
  12. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA). Msaada: Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
  13. mike2k

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu

    👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫 NATAFUTA KAZI YA UALIMU Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za...
  14. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu lini mwenye fununu.

    Kama somo linavyosema naomba kujua ajira za walimu.
  15. IgKim

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha (ualimu)

    Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools mwenye shule ama anaejua shule inayoitaji Mwalimu Tafadhali tushirikishane haswa shule za Arusha na...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je, ualimu ni kwa ajili ya watu maskini?

    Leo nimejisikia vibaya Sana baada ya kumsikia Mzazi mmoja akimgombeza Mtoto wake aliyekua na ndoto ya kusomea ualimu, maongezi yao yalikua hivi. Mtoto: baba Mimi nataka kusomea ualimu. Baba: hivi umechanganyikiwa? yaani uende ukawe Mwalimu? Walimu Wana maisha gani? Eeeh! Wana kipi Cha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

    JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl...
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wanaoomba kazi kupitia Tamisemi ni ualimu tu au hata kada nyingine?

    Nimesomea DIPLOMA ya utawala, je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
  19. balimar

    JamiiForums Tanzania Ualimu kazi iliyotukuka zaidi. Mvinyo mpya Kiriba kipya

    Ndani ya shamrashamra za kazi bora zaidi kuwahi kutokea duniani nakutana na santuri hii iliyorejesha matumaini kwa Walimu. Twende tuendavyo Mwalimu anabaki kuwa Mwalimu. Mother of all professionals.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
Back
Top Bottom