ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  2. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Interview Iringa Ajira za Ualimu

    Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
  3. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?

    Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu. Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu...
  4. FK21

    JamiiForums Tanzania Shortlisted za ualimu interview zinafanyikia wapi?

    Wakuu watu walioandikiwa shortlisted interview zao ni lini maana kwenye time table Niki-view hakuna kitu kipya kinachoonesha tarehe.
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

    Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira. Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Updates Ajira za Ualimu (Hii imekaaje Wadau??)

  7. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    Kupeleka ajira za ualimu ni moja ya maamuzi ya ovyo ambayo serikali imewahi kuyafanya. Sitoshaangaa hapo baadae mwanasiasa mwingine atakapokuja na kuamua kuzirudisha tena Tamisemi au akatumia udhaifu ulioneshwa na utumishi kuombea kura kwa wasaka ajira za ualimu. Wakati ajira hizi zipo...
  8. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka ajira za ualimu nazo zina interview Sasa hivi nachanganyikiwa basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu chuo

    Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka niache kazi ya ualimu nijikite zaidi kwenye biashara

    Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana. Bora kuuza Kangala na kufanya biashara. " Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu. Mbaya zaidi anakula na demu wako.
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu

    Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo! Muwe na siku njema
  11. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Songea mjini, nimesomea Ualimu ila nipo tayari kwa kazi ya nje na nilichokisomea

    Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie. Asanteni
  12. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  13. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtoto wa tajiri au mwenye cheo anasomea ualimu

    Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania. Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho. Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu. Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji. Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010...
  14. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Naomba mkeka ajira za ualimu 24/25

    Mwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni. Natanguliza shukrani🙏
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
  16. proff g

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya ualimu vyatunishiana misuli na vyuo vikuu kwenye sifa za udahili

    Mwaka wa masomo 2024/2025 umekuwa wa tofauti kuliko miaka nyumba, kupitia wizara ya Elimu kumekuweko na mabadiliko ya kimitaala katika uendeshaji wa Elimu yetu. Moja ya madiliko ni kuwekwa Kwa vigezo vinavo fanana Kwa ngazi tofauti mfano nihili la vyuo vikuu na vyuo vya ualimu kuwa na vigezo...
  17. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tamisemi hawatahusika tena na ajira za Ualimu?

    Hiki ni kitu ambacho kinaniumiza kichwa kufahamu kwakuwa hakuna taarifa maalumu ya kwamba Tamisemi hawatahusika na hizi ajira za Ualimu Hili linatia mashaka baada ya siku za nyuma kutangazwa ajira za Ualimu kupitia sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma na ikahitajika waalimu kujisajili...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Moja ya Taaluma ambayo inaendelea kuwaweka CCM Madarakani Ualimu Wangekua kama Madaktari na wanasheria CCM ingekua out zaman sana

    Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana. TLS ashawahi shinda Lissu Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm. The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka. Hii Nchi taaluma moja...
  19. emmarki

    JamiiForums Tanzania Maelekezo muhimu kutoka utumishi kwa wanaoomba ajira za ualimu

    Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi. Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa kichwa. Address ya utumishi usikosee hata nukta, Certify vyeti vya taaluma kama ilivyoelekezwa.....
  20. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia kwa waombaji wa ajira za ualimu na afya secretarieti ya ajira

    napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma 1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama 2. unapoandika barua ya maombi...
Back
Top Bottom