Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo
Kinachonishangaza ni...
Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo".
Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala kwenye chumba cha usaili kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini;
Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani.
Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo?
Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa?
Acheni kutesa watoto wa watu.
Hakuna graduate...
Wakuu Habari!
Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda.
Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025.
Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024.
Soma zaidi
<<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa
Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo.
.
Walimu wanabaki njia panda wasaini mikataba ya mishahara jkidogo au wasubiri Ajira za serikalini ...
Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa wakufunzi na wanafunzi.
Aidha, ameeleza kuwa Mradi huo umewezesha ujenzi na ukarabati...
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA!
HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA NI SIFA GANI ZINAZOHITAJIKA.¿
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA!
HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA NI SIFA GANI ZINAZOHITAJIKA.¿
Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum.
Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”...
Anahitajika Mwalimu mahiri ngazi ya shahada katika somo la Jiografia na Historia au Jiografia na kiswahili. Shule ipo Mbeya Mjini na inatoa mshahara scale ya serikali..... Kama Hauna mastery of the subject na hauko vizuri discipline wise usipoteze muda wako.
Kwa mawasiliano: 0655087675.
Hii kazi ina mshahara mdogo sana. Ni pesa ambayo bodaboda wanapata kwa wiki mbili au tatu. Acha tu, mungu wasaidie walimu wanaishi maisha ya ajabu sana, Kila mwaka madarasa yanajengwa ila huwez kukuta nyumba za walimu zinajengwa
Madarasa ya vioo na tiles Ila nyumba za walimu mbovu sakafu...
Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.