ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waajiriwa wapya kada ya ualimu kutopata mshahara na pesa za kujikimu kwa kipind cha miezi na kuripot kazini mpaka wapigiwe simu

    Habari ndugu zangu.? Naomba ufafanuzi mwenye kujua, inakuaje mtu umepata ajira hizi za utumishi kada ya ualimu toka mwezi wa 3, barua zako za mikataba serikalini zinasoma tar 17 na tar 18 mwezi wa 3. Unapewa week 2 za kujiandaa inamaana utarudi tar 02/04. Kabla ya kurudi maafisa utumishi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  3. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

    Binafsi kwa TANZANIA hii ya Sasa mtoto wangu akisema anasomea ualim namfukuza kwangu saa hiyo 😂🙏😂. Aende akaish kwenye ofisi za CCM huko.
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

    Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo Udaktari Ufundi kama tanesco Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi Polisi Wanajeshi Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa sababu umri unavyozidi kwenda ndo wanakua na utaalamu wa juu Walioajiriwa kwenye kada zifuatazo...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  6. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Ualimu Dakawa toeni hela ya BTP

    Tunaomba mtupe hela ya kujikimu. Tunakufa njaa.
  7. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania AJIRA UALIMU : COMMERCE NA BOOK KEEPING (ACCOUNTANCY)

    Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level. Shule Iko Mbeya Mjini. Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na Account. Mawasiliano: +255754543934 Salary: Government scale.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

    Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maswala ya Elimu yote kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vya ualimu yawe chini ya Wizara ya ELIMU, TAMISEMI wapunguziwe mzigo.

    Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

    Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu. Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
  11. G

    JamiiForums Tanzania INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

    Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii kemia oral 2800 wanahitajika 541 Bailojia oral 2200 wanahitajika 511 Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
  12. G

    JamiiForums Tanzania INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

    Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii kemia oral 2800 wanahitajika 541 Bailojia oral 2200 wanahitajika 511 Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

    Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa na watu wasiojua thamani na gharama za mtu kukaa miaka mitatu akipambania shahada ya ualimu kwa jasho...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ajira 2,611 za Ualimu zatangazwa, huu sio mkakati wa CCM kuongeza wapiga kura?

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia sita kumi na moja (2,611). Serikali ilitoa tangazo hilo Februari 10, 2025 huku kwa...
  15. Optimists

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

    Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili, Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
  16. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI UALIMU.

    Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo; 1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha 2. PHYSICS-MATHEMATICS awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
  17. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  18. josam

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya ualimu

    Anaye hitaji ajira ya kufundisha English medium school akuje inbox
  19. M

    JamiiForums Tanzania USAILI KADA YA UALIMU

    Habari wadau!!?? Naomba kwa yule aliyefanikiwa kufanya usaili wa Diploma Ualimu, anisaidie Dondoo za Usaili wenyewe ukoje. Content ni zipi ?
  20. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya usaili wa Kada ya ualimu, wasailiwa walala kwenye chumba cha usaili

    Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo". Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala kwenye chumba cha usaili kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini;
Back
Top Bottom