tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. Rushwa katika Utoaji wa Tuzo za Sanaa hushusha thamani ya Tuzo husika

    Upendeleo katika utoaji wa tuzo ni aina ya Rushwa ambapo watu au makundi hutumia hongo au faida fulani kwa majaji au wapiga kura ili kuhakikisha kwamba wanatunukiwa tuzo katika tasnia ya sanaa. Tabia hii ni kinyume cha sheria na inaathiri uadilifu na uwazi wa mchakato wa utoaji wa tuzo, na...
  2. Jinsi tuzo ya CAF ya timu bora ya karne waliyopewa Al Ahly ilivyozua mgogoro mkubwa

    Hivi umewahi kujiuliza ni kwa vigezo gani CAF waliitangaza Al Ahly kuwa ni timu bora ya karne ya 20? Wengi mnadhani ni kwa kubeba makombe mengi kuliko timu nyingine yoyote lakini siyo kweli. Karne ya 20 iliisha 31/12/2000. Katika mafanikio ya Al Ahly hadi kufikia tarehe hiyo, katika mashindano...
  3. Mwanariadha Jackline Sakilu Ashinda Tuzo za TASWA kwa Mwezi Februari, 2024

    Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA). Kushoto : Jackline Sakilu na Alphonce Simbu TUKUMBUKE...
  4. Atunukiwa Tuzo ya Uvumilivu na Rais Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo ya Mwananchi Mvumilivu kutoka Pemba, Ndg. Omar Seif Omar, iliyokabidhiwa kwa mtoto wake Ndg. Hamad Omar Seif, kutokana na yeye kushindwa kuhudhuria kwa sababu ya maradhi yanayomsumbua. Tuzo hio...
  5. Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

    Bingwa. Yanga Kocha bora. Gamondi Kipa bora. Diarra Beki bora. Yao Kiungo bora. atatoka Yanga MVP . atatoka Yanga Simba sijui mtapata nini msimu huu.
  6. Midundo ya kiasili inayostahili Tuzo

    Niende moja kwa moja kwenye point. Kwasasa hapa Tanzania nyimbo mbili toka wasanii wa Mbeya ndio zinazotakiwa kupewa Tuzo. Pia Midundi hii inastahili kuwa muziki unaoitambilisha Tanzania. 1. Wamwiduka - Kilingeni 2. Nasibu Mwanjalila- Mkataa kwao
  7. Lady Jaydee apoteza trophies 22 (Aibiwa na wezi)

    Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi. Jide kupitia mtandao wake wa X amesema, "Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ...
  8. Tyla Awabwaga Davido Na Burna Boy Kwenye Tuzo Za Grammy

    Unakumbuka Ile ngoma Water? 🎶Baby Sweat, Baby Water🎶 Sasa msanii ambaye ameimba ngoma hiyo yaani Tayla ameshinda tuzo Ya Grammy usiku huku akiwabwaga wasanii Wakubwa ikiwemo Davido na Burna Boy. Tayla ameshinda tuzo hiyo kubwa kupitia kipengele cha Best African Music Performance alichokuwa...
  9. Usiku waa leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy

    Ile siku iliyo kuwa iki subiriwa Sana na wapenzi wa muziki Africa ndo leo hii ambapo katika usiku wa Leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy. Taarifa hii itazingatia wasanii wa kiafrika tu, kwani ndo kuna mchuano mkubwa Mwaka huu. Category ziko hivi,( 01) Best African performance (hapa...
  10. Pesa ya tuzo ya mchezaji bora wa mechi South Africa ni sawa na hela ngapi ya kwetu hii? Tuna safari ndefu

    Mchezaji bora wa mechi huko South Africa akiwa na hundi ya Rand 100,000/=. Ni sawa no hela ngapi ya madafu?
  11. Pacome Zouzoua alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ivory Coast 2023 ila waziri hamjui

    Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general. Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya ivory coast kupitia tuzo. Swali la kujiuliza mchezaji bora waziri humjui kabisa hiki ni...
  12. Mkurugenzi TANESCO apewe Tuzo, umeme Unapungua haujawahi katika! CHAWA ni kielelezo cha vijana walio tayari kufanya lolote kwa Dhumuni!

    Umeingia ofisini saa 2 asubuhi, ukakuta hakuna umeme umekaa siku nzima ukisuniri umeme. Unaamua kuondoka saa 11 jioni, ukijifariji kwamba utaukuta umeme nyumbani angalau ufanye kazi za wateja wako. Unafika nyumbani saa 1 kasoro unakuta hakuna umeme wanakuambia wamekata saa 12 jioni. Unajaribu...
  13. Kwa Mlioangalia Movie ya "OPPENHEIMER" naombeni mniambie kuna jipya gani huko? Naona kwenye tuzo za kimataifa inajinyakulia mituzo yakutosha!

    Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega! Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana mimi huwa ni mgumu wa kuangalia movie hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza...
  14. Chuo Kikuu cha Waislam cha Morogoro (MUM) chamtunuku Baraka Mpenja Cheti cha Kutambua mchango wake kwenye lugha na utamaduni

    Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimemtunuku mtangazaji wa kandanda wa AzamMedia, Baraka Mpenja 'Sauti ya Radi' ikiwa ni ithibati ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kipekee anaoutoa katika maendeleo na ustawi wa lugha na utamaduni wa Kiswahili duniani. Mpenja ametunukiwa cheti...
  15. Aviator yatwaa tuzo 7 mfululizo 2023

    Kampuni ya kiteknolojia ya michezo ijulikanayo Kama sprible imeibuka mshindi wa tuzo 7 mtawalia kwa Mwaka 2023 baada ya ubunifu mkubwa walioufanya katika teknolojia ya michezo ya igaming. Baada ya ugunduzi wa mchezo mashuhuri wa Aviator Kujiunga Pmbet na kucheza Aviator tembelea tovuti ya...
  16. S

    BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  17. A

    DOKEZO Tuzo za Filamu zinazoandaliwa na Bodi ya Filamu zina mchezo mchafu

    Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia za kuwepo kwa upendeleo katika kuwapata washindi wa tuzo katika tamasha la Tanzania Film Festival...
  18. Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

    Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa Islamic Jihad wakati wa makabiliano ya Ghaza. Maelezo yaliyotajwa kwenye drone yalisomeka: "Sky Racing...
  19. Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

    Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo. Nataka pia...
  20. Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

    MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…