tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Salumu Mwalimu wameonesha uwezo mkubwa wakabidhiwe chama

    Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe Makamu Mwenyekiti. Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama. Ni hayo tu kwa uchache. Maendeleo hayana vyama.
  2. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

    Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho. Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

    Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu. Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele Jengo la Umoja House). Huu ni mwendelezo wa kukamata viongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo. ======...
  4. Jelavic

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kwenye kampeni zako ulimkumbusha Rais Magufuli juu ya ahadi yake aliyoitoa Singida kuitekeleza kabla ya 2020, amekusikia ametekeleza

    Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
  5. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Tundu Lissu, hongera sana Wagombea ubunge wa CHADEMA, hongera sana CHADEMA

    Hongera sana Lissu kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa. Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi. Kikubwa zaidi...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

    Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo. 1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90%...
Back
Top Bottom