tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mlimbwende amenipa ari ya kuchora tattoo ya Tundu Lissu

  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo. Kwa wakristo wote...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

    Wasichokijua watu wengi kuhusu Status ya ukimbizi aliyoomba Lissu zamu hii hata kabla ya kufika Ubelgiji ni kutojihusisha na masuala ya kisiasa au uanaharakati akiwa nchini humo. Ni kwamba Lissu ni assylum seeker na bado haja-qualify kupewa permanent resident status mpaka ashinde kesi yake...
  4. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania EU na WB ni kama wanawajibu Tundu na Zitto...

    EU na WB KAMA WAMEJIBU WA ZITTO NA LISU.... Na Elius Ndabila 0768239284 Ikumbukwe hivi karibuni baada ya uchaguzi mkuu kufanyika, vyama vya siasa vilivyoshindwa Uchaguzi huo hasa CHADEMA NA ACT waliandika barua kwenda UN, Umoja wa Ulaya na kwenye mataifa mengine kushinikiza Tanzania kuwekewa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya uanaharakati bora aliyopewa Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti CHADEMA imetoa jibu

    Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA. Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake. Baadhi ya watanzania...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Demokrasia na Utetezi wa Haki za Binadamu aliyotunukiwa Tundu Lissu iwe neema kwa chama

    Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
  7. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tundu Lissu, mwingine ambaye hatawasahau Watanzania ni Bernard Membe

    Hawa wanasiasa wawili hawatawasahau Watanzania katika maisha yao yote! Tundu Lissu alikuja nchini na ''mkwara mzito'' aliouanzia akiwa nje ya nchi alipokuwa anatoa hotuba mara kwa mara kwa Watanzania kama vile ameshakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu! Wakati wa kampeni...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu rudi nyumbani, Rais Magufuli yupo tayari kutimiza ahadi yake

    TUNDU LISU RUDI NYUMBANI, RAIS MAGUFULI ATIMIZE AHADI YAKE. Na, Robert Heriel Sisi wote ni wanadamu, kila mmoja anamapungufu yake ambayo anahangaika kuyaweka sawa ili tuwe wakamilifu. Hatuwezi kuwa na tabia zile zile mbaya zinazowaumiza wengine, ni lazima tuziondoe ili kulifanya taifa hili...
  10. 5

    JamiiForums Tanzania Majibu Kwa Tundu Lissu - Imeandikwa na Janeth Rithe Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo

    Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo. Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Ninaheshimu sana maoni yake na tunachukulia kwa uzito mkubwa ukosoaji wake kwa maamuzi ya vikao vya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

    Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua. Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful. Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

    Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale. Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya. Nadhani hizi zitakuwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

    Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadaye likapitishwa na Kikao cha Baraza Kuu Tundu Lissu akiwemo pia. Wakati wa kampeni Tundu Lissu akabadili gia angani na kulitangazia taifa kuwa yeye anamuunga mkono mgombea urais kupitia ACT Wazalendo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni vema angewalaumu ACT-Wazalendo na akina Halima Mdee akiwa nchini lakini siyo Ubelgiji

    Nilimsoma Tundu Lissu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali Uchaguzi haukuwa huru na haki. Nimemsoma tena Tundu Lissu akiwalaumu ACT-Wazalendo na Maalimu Seif kwa kukubali kujiunga na serikali ya Umoja wa kitaifa na kwamba wamewasaliti wananchi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani unazidi kumuweka mbali Tundu Lissu na kujiweka karibu na Serikali za CCM

    Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA kuapishwa Dodoma chini ya kiongozi mkongwe na mwenyekiti wa Bawacha ni kujitenga na falsafa za Tundu Lisu za kususa na "kugomea" Kitendo cha ACT Wazalendo kujiunga na SUK huko Zanzibar ni ishara tosha ya kumtenga Tundu Lissu na wakili wake Amsterdam huko ICC...
  16. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

    Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache Aidha, Membe, mwanachama mwenye...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Yule Tundu Lissu aliyekuwa anaandikwa kila kurasa yuko wapi?

    Wanabodi; Nianze kwa kuwapongeza kurudi kuwa kundi moja la kuijenga nchi na kuongeza uzalishaji kwenye kaya zenu. Nimegundua kuwa nchi hii usipokuwa makini unaweza kutapeliwa kisiasa, unaweza kupitiwa na upepo wa nyakati na nusu wakati. Ni takriban mwezi na ushee tukiwa tumemaliza uchaguzi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushiriki katika Forum ya International Democratic Union

    Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union: We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and was Presidential candidate in the recent elections in #Tanzania, which have been an example for an...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilikuwa na uwezo wa kupata Wabunge wengi ila kauli tata za Tundu Lissu zimewagharimu

    Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo. Huwezi...
Back
Top Bottom