tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

    👇 --- Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika: Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

    Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria. Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia. Photos speaks thousands word.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

    Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100)...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu muhimu ambayo Tundu Lissu hayafahamu

    Haya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe; 1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu. 2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akiwa Sengerema apigilia msumari wa "akili matope" kwa Rais kuwapa DP World madaraka yake kama mdhamini wa ardhi

    Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi, sio yeye kuomba. Tundu akauliza hii ni akili au...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

    Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike. Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini. Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao. Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kama mlifikiri kutufutia kesi ni hongo tunyamaze siku mkituibia, hiyo haipo

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hasani aliyewafutia kesi. Lissu amesema, hawawezi kushukuru kwa kufutiwa kesi za uwongo...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Watu wanasema Tundu Lissu hana shukrani!Je Shukrani ni kutoa sadaka bandari za Tanganyika kwa Mwarabu?

    Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ??? Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ?? Yaani maendeleo...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

    Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji. Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  17. Leak

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais ni mtumishi wetu tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema. Lazima tushughulike nae kisiasa

    Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa. Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

    Mwamba anarudi leo kutoka ugaibuni. Tumpokee tumsindikize kwa Kingai.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hata Tundu Lissu hawezi shinda kesi ya Bil 260 ICSID. Wanaohusika na kuingia mikataba mibovu wanyongwe

    Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda. Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu. Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje Katuni hii ya King Kinya aliyomchora mtu anayefanana na Tundu Lissu

    Gazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake...
Back
Top Bottom