Tundu Lissu ana kipi hasa katika CV yake zaidi ya kuropokwa tu na makelele ya uanaharakati

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,065
Wasalaam

Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana.

CV ya Lissu ni kusherehekea na kufurahia saana kifo Cha Magufuli hio ndio legacy yake.

Hana CV yoyote kama iconic political figure, zaidi ya uanaharakati uchwara na mufilisi, hana sifa ya kugombea urais 2025 na hatagombea urais, hana jeuri ya kutolamba asali, hana vibe la kufuruka mbele ya Rais Hassan au Mgombea yeyote wa CCM come 2025.

Watoto wake inasemekana sio watanzania, record zake hana uzalendo anafurahia Tanzania ikipoteza inasemekana anatuhujumu kuuza gap za kushtakiwa kihuni kimataifa.

Vita ya corona virus alitusaliti, inasemekana ana support ushoga na hajaukana hadharani, awamu hii ya SITA amemute hana hoja uanaharakati kafeli. Afanye hand kulamba asali atulie.

Umaarufu wake ni wa huruma tu wa kupigwa risasi za kifedhuli na kiutopolo na watu washenzi tu ambao hawajui kutumia silaha waharibifu tu.

Ujio wa Tundu Lissu hauna vibe lolote zaidi tu ya kumbukizi tu kuwa alisurvive kifo tu basi hana zaidi umaarufu wa kunusurika kifo tu.

Ajipange kwa ajili ya kuropokwa na kuwazia Jimbo la Singida mashariki.

Lissu hana legacy yoyote ndani ya cv yake anaebisha ashushe hoja.

Chadema kabaki Heche na Mnyika basi wengine kama Lissu ni mapopoma tu

Wadiz
 
Akili yako imefikia hapa?! Kati ya hayawani Magufuli na Lissu nani alimkosea mwenzie? Jifunze kukua hata kama hauna akili.
Mafedhuli wa kuropokwa utawajua tu, huyo mende wenu alisherehekea kifo Cha Magufuli, Ikulu haipo kwa ajili ya Kupokea watu ambao hawako physically fit, Lissu yuko Physically incapacitated for the president office.

Sio kwa ubaya Lissu yuko na hali mbaya physically, yaani Ikulu iwe na Rais mwenye vyuma hio hapana hapana na sio kwa ubaya ila ndio ukweli.

Sifa ya Rais ni afya njema na ya uhakika.
 
Mafedhuli wa kuropokwa utawajua tu, huyo mende wenu alisherehekea kifo Cha Magufuli, Ikulu haipo kwa ajili ya Kupokea watu ambao hawako physically fit, Lissu yuko Physically incapacitated for the president office...
Ndio nakuambia haupo sawa una tatizo la afya ya akili. Mmlipa Ikulu mtu ambaye alikuwa na nati kwenye moyo.
 
Wasalaam

Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana.

CV ya Lissu ni kusherehekea na kufurahia saana kifo Cha Magufuli hio ndio legacy yake.

Hana CV yoyote kama iconic political figure, zaidi ya uanaharakati uchwara na mufilisi, hana sifa ya kugombea urais 2025 na hatagombea urais, hana jeuri ya kutolamba asali, hana vibe la kufuruka mbele ya Rais Hassan au Mgombea yeyote wa CCM come 2025.

Watoto wake inasemekana sio watanzania, record zake hana uzalendo anafurahia Tanzania ikipoteza inasemekana anatuhujumu kuuza gap za kushtakiwa kihuni kimataifa.

Vita ya corona virus alitusaliti, inasemekana ana support ushoga na hajaukana hadharani, awamu hii ya SITA amemute hana hoja uanaharakati kafeli. Afanye hand kulamba asali atulie.

Umaarufu wake ni wa huruma tu wa kupigwa risasi za kifedhuli na kiutopolo na watu washenzi tu ambao hawajui kutumia silaha waharibifu tu.

Ujio wa Tundu Lissu hauna vibe lolote zaidi tu ya kumbukizi tu kuwa alisurvive kifo tu basi hana zaidi umaarufu wa kunusurika kifo tu.

Ajipange kwa ajili ya kuropokwa na kuwazia Jimbo la Singida mashariki.

Lissu hana legacy yoyote ndani ya cv yake anaebisha ashushe hoja.

Chadema kabaki Heche na Mnyika basi wengine kama Lissu ni mapopoma tu

Wadiz
Mkuu una lowanishwa shimo dogo la kutolea mashudu
 
Najibu kichwa cha uzi wako, maana kinajitosheleza.
Makelele na kuropokwa kwa Lisu, kunatuelimisha, kutuhabarisha, kuibua uozo mwingi sana unaofanywa na wezi wanaojiita wazalendo wa nchi hii.
 
Wasalaam

Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana.

CV ya Lissu ni kusherehekea na kufurahia saana kifo Cha Magufuli hio ndio legacy yake.

Hana CV yoyote kama iconic political figure, zaidi ya uanaharakati uchwara na mufilisi, hana sifa ya kugombea urais 2025 na hatagombea urais, hana jeuri ya kutolamba asali, hana vibe la kufuruka mbele ya Rais Hassan au Mgombea yeyote wa CCM come 2025.

Watoto wake inasemekana sio watanzania, record zake hana uzalendo anafurahia Tanzania ikipoteza inasemekana anatuhujumu kuuza gap za kushtakiwa kihuni kimataifa.

Vita ya corona virus alitusaliti, inasemekana ana support ushoga na hajaukana hadharani, awamu hii ya SITA amemute hana hoja uanaharakati kafeli. Afanye hand kulamba asali atulie.

Umaarufu wake ni wa huruma tu wa kupigwa risasi za kifedhuli na kiutopolo na watu washenzi tu ambao hawajui kutumia silaha waharibifu tu.

Ujio wa Tundu Lissu hauna vibe lolote zaidi tu ya kumbukizi tu kuwa alisurvive kifo tu basi hana zaidi umaarufu wa kunusurika kifo tu.

Ajipange kwa ajili ya kuropokwa na kuwazia Jimbo la Singida mashariki.

Lissu hana legacy yoyote ndani ya cv yake anaebisha ashushe hoja.

Chadema kabaki Heche na Mnyika basi wengine kama Lissu ni mapopoma tu

Wadiz
Uko sahihi,ila hata pia angalia wafuasi wa Hiyo Chadema na akili zao.
Utaelewa Lissu ni kiongozi wao sababu hata akili zao pua ziko mfumo mmoja.

Lissu hajawahi kujenga hija yenye mashiko na ikawa kama sera ya chama chake.

Sifa kubwa ya Lissu ni ubishi wa kisheria kwa watu ambao sio wanasheria.

Anatumia uelewa wake wa kitaaluma kupata Political Mileage .

Vinginevyo ni kwamba Tabia ya upigaji wa Zitto ni sawa na Upigaji wa Lissu hivyo hivyo.

ACACIA walimtumia sana!

Pia...
Yule mzungu wa ndege yetu South Africa Lissu alikuwa na mkono wake huko.

Wanasiasa wa kitanzania janjajanja nyingi sana!
 
Akili yako imefikia hapa?! Kati ya hayawani Magufuli na Lissu nani alimkosea mwenzie? Jifunze kukua hata kama hauna akili.
Mbona mpaka leo hakuna ushahidi mliowahi kuufikisha popote kumuunganisha Magufuli na tukio la Lissu kutandikwa risasi na watu wasiojulikana?

Mmebaki kutumia maudhui bila uhalisia!
 
Uko sahihi,ila hata pia angalia wafuasi wa Hiyo Chadema na akili zao.
Utaelewa Lissu ni kiongozi wao sababu hata akili zao pua ziko mfumo mmoja.

Lissu hajawahi kujenga hija yenye mashiko na ikawa kama sera ya chama chake.

Sifa kubwa ya Lissu ni ubishi wa kisheria kwa watu ambao sio wanasheria.

Anatumia uelewa wake wa kitaaluma kupata Political Mileage .

Vinginevyo ni kwamba Tabia ya upigaji wa Zitto ni sawa na Upigaji wa Lissu hivyo hivyo.

ACACIA walimtumia sana!

Pia...
Yule mzungu wa ndege yetu South Africa Lissu alikuwa na mkono wake huko.

Wanasiasa wa kitanzania janjajanja nyingi sana!
Uko sahihi kabisa kamanda Lissu hafai kabisa hasa legacy yoyote, he has never been any hero in any scenario, ni mtu anaetumika, ubishi, kujiamisha yeye ndio anajua na akili zake ndio final, amekuwa poyoyo tu Kwa mwenyekiti wake tu ndio anaufyata. Silika yake ni ya udikteta
 
Tafuta chama upewe lidhaa ya kupeperusha bendera yao

Kuna chauma ya mzee wa ubwaa

Ni wewe, usianze kuangalia wenzio, ingia mbele nawe uwe rais
 
Unauliza hii nini chini chini ya mkia wa mbuzi huku unaona ni nini, LISSU anafaa kuwa rais wa Tanzania maana mengi anajua hayajakaa sawa jinsi inavyotakiwa iwe.
 
Mbona mpaka leo hakuna ushahidi mliowahi kuufikisha popote kumuunganisha Magufuli na tukio la Lissu kutandikwa risasi na watu wasiojulikana?

Mmebaki kutumia maudhui bila uhalisia!
nani alimua ben sanane pale ikulu
 
Wasalaam

Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana.

CV ya Lissu ni kusherehekea na kufurahia saana kifo Cha Magufuli hio ndio legacy yake.

Hana CV yoyote kama iconic political figure, zaidi ya uanaharakati uchwara na mufilisi, hana sifa ya kugombea urais 2025 na hatagombea urais, hana jeuri ya kutolamba asali, hana vibe la kufuruka mbele ya Rais Hassan au Mgombea yeyote wa CCM come 2025.

Watoto wake inasemekana sio watanzania, record zake hana uzalendo anafurahia Tanzania ikipoteza inasemekana anatuhujumu kuuza gap za kushtakiwa kihuni kimataifa.

Vita ya corona virus alitusaliti, inasemekana ana support ushoga na hajaukana hadharani, awamu hii ya SITA amemute hana hoja uanaharakati kafeli. Afanye hand kulamba asali atulie.

Umaarufu wake ni wa huruma tu wa kupigwa risasi za kifedhuli na kiutopolo na watu washenzi tu ambao hawajui kutumia silaha waharibifu tu.

Ujio wa Tundu Lissu hauna vibe lolote zaidi tu ya kumbukizi tu kuwa alisurvive kifo tu basi hana zaidi umaarufu wa kunusurika kifo tu.

Ajipange kwa ajili ya kuropokwa na kuwazia Jimbo la Singida mashariki.

Lissu hana legacy yoyote ndani ya cv yake anaebisha ashushe hoja.

Chadema kabaki Heche na Mnyika basi wengine kama Lissu ni mapopoma tu

Wadiz
Umemvunjia heshima gwiji wa sheria nchini, Tundu Lissu

Lissu hana cv yoyote ya kusisimua majukwaa hana msijifiche kwenye kivuli cha huruma mbona yeye huyu fedhuli alishangilia sana kifo Cha Magufuli?
- ww boya tu unahangaika na kutoa hela Kwa Malaya wa Vyuoni
- unapozungumzia CV ni neno Pana Ina include hadi Elimu Lissu na LL.B,LL.M na ni Advocate of the High court of Tanzania, Lissu aliwahi kutetea kundi la Watanzania huko Mara, Lissu kasimamia kesi nyingi sana Kwa kifupi kafanya mambo mengi tangible, utajilinganisha naye ww boya unayeshinda Kuhonga Malaya wa Vyuoni laki 1.
-
 
Back
Top Bottom