tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa kesi ya Halima Mdee na wenzake

    Take home msg ni hii: 1. Job Ndugai asilaumiwe 2. Tulia Ackson asilaumiwe 3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais. Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hawezi kujiangalia kwenye Kioo, anajikimbia!

    This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu. Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life…
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  4. JamiiForums Tanzania Ni lini na wapi Mbowe, Zitto, Tundu Lissu & Co walialikwa popote Dunia hii?

    Naona CHADEMA wamemualika Bobi Mpinzani Mkuu kutoka UG kama mgeni rasmi, najiuliza kwa nini wao akina Mbowe hawaalikwi au ni lini waliwahi kualikwa popote na kuwa wageni wa heshima? Watanzania sisi ni watu wa kujipendekeza sana, ukiachilia kwa Mbowe kujipeleka kwa Raila Kenya na kupiga naye...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mwanasheria mahili sana ila sio kiongozi wala mwanasiasa mzuri

    Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani. Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake. Mara zote...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

    Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%. Wakimnyima...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini

    Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi. Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

    Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu! Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
  9. JamiiForums Tanzania Ujio wa Tundu Lissu utawaunganisha CCM

    UJIO WA TUNDU LISU UTAWAUNGANISHA CCM. Anaandika Robert HERIEL. Kheri ya Mwaka MPYA Ndugu zangu. Nimesikiliza Hotuba zote mbili za viongozi wetu. Hotuba ya Rais wetu Mama Samia Suluhu, kisha nikamsikiliza Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Tundu Lisu. Sio lengo langu kuelezea hotuba zao...
  10. JamiiForums Tanzania Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

    Kwema Wakuu! Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa. Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀 Ila Lisu Kiboko tuacheni utani. Lisu ni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aelekeza mambo sita yanayopaswa kufanywa tunapoanza mwaka wa 61 wa Uhuru wa Tanganyika

    Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera. 1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola. 2...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waliona mbali kumpa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti, kichwa kipo imara sana

    Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu. Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa. Tundu Lissu amesema...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: We have clues to ‘the pigs’ who attacked Gen Katumba

    The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years. President Museveni has vowed to “defeat” armed assailants who attacked and injured former Works and Transport minister Gen...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu alikuwa anapata watu wengi kwenye mikutano yake ya kampeni hasa mikoani?

    Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki. Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu? Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi? Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi? Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema? Au ni watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba uunde Tume ya kuchunguza vitendo vya kuteka, kuumiza na kupoteza watu

    Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake. Mama kilio cha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

    Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali. Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Je, tutakuwa tumechelewa mama tukiiomba serikali ya awamu ya sita ianzishe uchunguzi dhidi ya tukio la kushambuliwa kwa mh Tundu Lissu?

    Friends and Enemies, Niwasalim kwa Jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAZ IENDELEE, Katika jambo ambalo kila nikikumbuka naishiwa kutokwa na machozi basi ni tukio la kinyama kabisa la kushambuliwa nusura auwawe Mh Tundu Lissu. Siyo speaker wa Bunge, siyo jeshi la polisi, siyo mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…