Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
875
4,101
Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri.

Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi gani?

Tunajiuliza haya maswali Kwa Sababu yeye mwenyewe NI muumini wa kulazimisha watu kuweka wazi taarifa zao za Mali; wapi tutapata taarifa zake za Mali anazomiliki?

Mwisho tukijua Mali anazomiliki tutajua kama atarejea nchini hivi karibuni kuendelea na siasa au ataendelea kibali huko ulaya nakufanya kazi zakumwezesha kulipa gharama za kuendesha familia.

Chawa WA CHADEMA tuambie mgombea Urais wenu ana ukwasi kiasi gani?
 
Yaani chawa wa Lumumba haipiti hata 10mins lazima mada ya CDM au viongozi wake ipandishwe humu, ccm niambie mimi nini mtakifanya tofauti na mnavyofanya sasa?,CDM sio tishio kwenu sasa tatizo lipo wapi ,kama sio Mh.Mbowe, ni Mr.Lissu utafikiri wao ndio dirisha la kutolea mapungufu yenu, niambieni mimi lini UJINGA, UMASIKINI, MARADHI na cousin wao Rushwa ambao wametamalaki nchini wataondolewa lini?huwezi kuniambia uchumi unakua kwa 6%na tunaongezeka kwa 4%,na hili ccm hawalioni kuwa ni tatizo
 
Wanasiasa kama Lisu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri.

Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wakufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi gani?

Tunajiuliza haya maswali Kwa Sababu yeye mwenyewe NI muumini wa kulazimisha watu kuweka wazi taarifa zao za Mali; wapi tutapata taarifa zake za Mali anazomiliki?

Mwisho tukijua Mali anazomiliki tutajua kama atarejea nchini hivi karibuni kuendelea na siasa au ataendelea kibali huko ulaya nakufanya kazi zakumwezesha kulipa gharama za kuendesha familia.

Chawa WA CHADEMA tuambie mgombea Urais wenu ana ukwasi kiasi gani?
Watoto wake wote ni raia wa Marekani, anachofanya ni kukusanya Hela Tanzania, anazipeleka Marekani kununua apartments. Halafu akirudi Tanzania, anatueleza kwamba nchi yetu haiendelei. Hana tofauti na makampuni ya madini ynaavyosomba dhahabu zetu kupeleka Ulaya.

Hata singida hana nyumba.
 
Watoto wake wote mi raia wa marekani, anachofanya ni kukusanya Hela Tanzania, anazipeleka marekani kununua apartments. Halafu akirudi Tanzania, anatueleza kwamba nchi yetu haiendelei. Hana tofauti na makampuni ya madini ynaavyosomba dhahabu zetu kupeleka Ulaya.

Hata singida hana nyumba.
Unasema makampuni ya madini yanasomba dhahabu zetu?

Hilo ni kosa la Tundu Lissu au CCM?
 
Mwanaume unaanzaje kufatilia mali za mwanaume mwenzio?? Uache kumtafuta Muumba wako, pesa, warembo, mpira nk. Unamfatilia mali za mtu wala sio mtumishi wa Serikali useme labda anaiibiaga Serikali... umbea wakiblazaduu huo shyyyyT
 
Wanasiasa kama Lisu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri.

Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wakufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi gani?

Tunajiuliza haya maswali Kwa Sababu yeye mwenyewe NI muumini wa kulazimisha watu kuweka wazi taarifa zao za Mali; wapi tutapata taarifa zake za Mali anazomiliki?

Mwisho tukijua Mali anazomiliki tutajua kama atarejea nchini hivi karibuni kuendelea na siasa au ataendelea kibali huko ulaya nakufanya kazi zakumwezesha kulipa gharama za kuendesha familia.

Chawa WA CHADEMA tuambie mgombea Urais wenu ana ukwasi kiasi gani?
Ni mshauri wa makapuni ya mabeberu ya malanikia. Ndiyo ilikuwa biashara nono kabla Magufuli hajaja, monopoly ya Wakili wachache tundulissu na fatmakarume na Mujwahuzi, huku wakitoa crocodile tears kujitia wanaharakati. Unafikiri hawampendi Magufili shauri ya tumehuru? Subutu! Wenziyo walinyanganywa tonge mdomoni hawatomsaheme.
 
Watoto wake wote mi raia wa marekani, anachofanya ni kukusanya Hela Tanzania, anazipeleka marekani kununua apartments. Halafu akirudi Tanzania, anatueleza kwamba nchi yetu haiendelei. Hana tofauti na makampuni ya madini ynaavyosomba dhahabu zetu kupeleka Ulaya.

Hata singida hana nyumba.

Kuna shida watoto wakiwa ni raia wa nyingine?
Kila mzazi anataka safety na mazuri kwa wanae.. kama una uwezo huo kwann usifanye hivyo?
Halaf si yeye peke yake viongozi kibaon ena waandamizi wa chama na serikali?
Na watoto wao wanajulikana ni raia wa nje lakin hawasemwi
 
Wanasiasa kama Lisu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri.

Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wakufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi gani?

Tunajiuliza haya maswali Kwa Sababu yeye mwenyewe NI muumini wa kulazimisha watu kuweka wazi taarifa zao za Mali; wapi tutapata taarifa zake za Mali anazomiliki?

Mwisho tukijua Mali anazomiliki tutajua kama atarejea nchini hivi karibuni kuendelea na siasa au ataendelea kibali huko ulaya nakufanya kazi zakumwezesha kulipa gharama za kuendesha familia.

Chawa WA CHADEMA tuambie mgombea Urais wenu ana ukwasi kiasi gani?
We vitega uchumi wako viko wapi na vipi? Tuambie vyako then na ueleze ni kwanini unataka kujua vya Lissu.
 
Lissu anamalizia malizia vijimafao vya ubunge alivyolipwa na serikali sikivu ya awamu 6 ya rais dk. Samia, hayo mafao anayotumbua muda si mrefu yatakauka na atakimbia uzunguni na kuja tz kupiga porojo za uwongo na kweli.
Lissu ameanza kusimamia kesi na kuwa kwenye jopo la mawakili kimataifa kabla hata hujabalehe ukidhani anategemea mafao ya ubunge kuishi jiulize tokea 1990s mpaka 2010 aliishije mind you aligombea ubunge tayari akiwa public figure.
 
Back
Top Bottom