tundu lissu

  1. J

    JamiiForums Tanzania MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

    MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI. Alhamisi, Jan 26, 2023. Misungwi, Mwanza. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amegundua nguvu ya Hayati Magufuli

    Baada ya Chadema kufanya mikutano hafifu sana na iliyokosa watu kanda ya ziwa (Mwanza na Mara), Tundu Lissu akapata meseji kichwani mwake kwamba nguvu ya Hayati Magufuli siyo ya kawaida kwenye jamii hasa kwa wananchi wa maisha ya chini kabisa na kwamba kuendelea kumponda Magufuli ni kujichimbia...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tumekuwa na Marais Wezi

    Akizungumza katika Mkutano wake wa kwanza wa Hadhara, Tangu arejee kutoka nje ya nchi alikokimbilia kunusuru Uhai wake, Lissu amedai kwamba Nchi ya Tanzania inaongozwa na Marais wezi. Akikazia madai yake, amesema kwamba, kama kuna mtu anadhani anasema vibaya aende akasome Kitabu cha Rais...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chawa wamejikita kumjadili Tundu Lissu binafsi badala ya kujadili Hoja zake za Temeke. Siasa za nchi hii Pasua kichwa!

    Tundu Antipas Lisu alipanda Jukwaani na kulihutubia Taifa. Ni vema tukajadili kile alichozungumza badala ya kumjadili yeye binafsi na maisha yake. Sukuma Gang kumbukeni huyu ni Tundu kama Lisu aka Akili kubwa kupambana naye kwa kutumia nguvu kulishashindwa tumieni akili. Mungu awabariki sana!
  5. JamiiForums Tanzania Picha za Lissu na dada wa Chadema mwenye mkoba wa rangi za Upinde yazua gumzo

    Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(LGBTQ). Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

    Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025. Lakini wakati akisema hayo. Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

    Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba. 1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msimlalamikie Mwigulu Nchemba

    Msimlalamikie Mwigulu Nchemba, Mwigulu Nchemba ni Karani tu, anayetoa ridhaa ni Rais ndio maana mkipiga kelele sana, anakuja amasema kwa sababu nawapenda sana, nimeondoa tozo, halafu anataka muamini kwamba hizi tozo zimeletwa na Mwigulu Nchemba."-Alisema @TunduALissu
  9. JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

    Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu una uhakika kuwa tatizo la Watanzania ni bei ya nyama kuwa sawa na ya maharage?

    Kwahiyo umetoka nchini Ubelgiji (Ulaya) kuja (kurejea) Tanzania kuzungumzia Bei ya Nyama kuwa sawa na ya Maharage? Kama wanasiasa wa Upinzani mpo this low ni bora tu GENTAMYCINE na Watanzania wenye akili tuendelee kuipigia kura CCM na CCM iendelee kutawala kama siyo kututawala milele! I'm very...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe hakwenda kumpokea Tundu Lissu?

    Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche. Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda? Kuna Jambo...
  12. JamiiForums Tanzania Mkeka wa Kimkakati wa Wakuu wa Wilaya washindwa kuzuia shangwe za Mapokezi ya Tundu Lissu

    Taarifa za Kiintelijensia kutoka chanzo cha kuaminika zinadokeza kwamba, kutangazwa leo Ma DC wapya lilikuwa jambo la Kimkakati ili kuwapoteza maboya watanzania na hasa wakazi wa DSM kuhusu Ujio wa Lissu. Hata hivyo mkakati huo umefeli vibaya sana! Mtoa Taarifa anadai kwamba kufeli kwa njama...
  13. JamiiForums Tanzania Je, hili la DC Nassari kuhamishiwa Iramba ni 'Strategical' kutokana na Ujio wa Tundu Lissu atokae huko Singida?

    Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani. Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje? Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa wa upinzani, Mwanasheria nguli, anatarajiwa kuwasili nchini. Hivi ni kweli Tundu Lissu bado ana ushawishi?

    Licha ya kuwa nje ya Tanzania kwa miaka mitano na ushei, ushawishi wake katika siasa za upinzani bado ungalipo. Kwa lugha nyingine ni kusema; makovu yake ya kisiasa hayajaondosha mvuto wake wa kisiasa mbele ya wafuasi wa chama chake. Tundu Lissu alisifika kwa ukosoaji dhidi ya serikali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wamesusa mapokezi ya Lissu. CHADEMA imefeli

    Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe. Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa chadema? Wamechokwa? Lissu kasahaulika? Nilitegemea nikute maelfu ya watu nje ya uwanja...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
  18. JamiiForums Tanzania UPDATES: Hatimaye Tundu Lissu aanza safari ya kurejea nyumbani

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani. Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye...
  19. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu yapamba moto, apangiwa kuhutubia taifa jukwaani siku hiyo hiyo Temeke

    Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke. Habari...
  20. JamiiForums Tanzania Sikatai Tundu Lissu kurejea Tanzania, ila je, ameshahakikishiwa na kujihakikishia pia Usalama wake akirudi rasmi?

    Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake? Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…