tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PICHA: Lissu apelekewa Mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana

    Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam. Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Waandishi wazuiliwa kuingia Mahakamani kesi ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema waandishi wa habari wamezuiwa kuingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu kuripoti mwenendo wa kesi inayohusu vikwazo vya kumwona Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akiwa mahabusu. Taarifa hiyo imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa chama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu - Siku ya kwanza

    Huu ni muendelezo wa kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa chadema dhidi ya haki za mawakili kutpewa vikwazo na mamlaka za magereza kukutana na wateja wao ikiwemo haki ya faragha na kutosikilizwa kwa mazungumzo baina ya mawakili na wateja wao. Pia Soma Updates: Kesi ya Mawakili wa Lissu dhidi ya Mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania Huu utawala mimi sielewi bhana, Askari Magereza wa jinsia ya kike anamlinda nini Tundu Lissu?

    Nafatilia video mjomgeo zinazoruka kwenye mitandao zinazo mwonesha Tundu Lissu akiwa mahakama naona na Askari Magereza jinsi ya kike najiuliza wanafanya kwenye ulinzi wa Lissu? Uhuu UTAWALA wa wasira na wenzake ni WA OVYO kuliko tudhaniavyo trust me.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Katibu Mkuu watu ni wachache, maana yake hujafanya mobilization?

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi. Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Changieni baraza kuu, changieni chama cha Ukombozi

    Kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu baada ya kuingia mahakamani ambapo leo anatarajiwa kuendelea kuuliza maswali ya dodoso kwa mashahidi kwenye shauri la kikatiba na 7300/2026 lililofunguliwa Mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo ambao...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana...
  8. JamiiForums Tanzania Updates: Kesi ya Mawakili wa Lissu dhidi ya Mkuu wa Gereza la Ukonga

    Flashback: Kumbuka hili ni Shauri la kikatiba Na. 7300 lililofunguliwa na mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul Kisabo dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Lengo la shauri hili ni kuhoji uhalali wa Jeshi la Magereza kuzuia...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu afikishwa mahakamani leo, ulinzi waimarishwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu haki za Mawakili ikiwemo haki ya faragha pindi wanapomtembelea gerezani. Shauri hilo limefunguliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Habari njema kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu, Hata akihukumiwa kunyongwa!, Hatanyongwa! Rais mwenye Sifa hizi, hawezi Kusaini Death Warrant

    Wanabodi Angalizo Kufuatia kushuka sana kwa kiwango cha uelewa kwa wana jf wengi wa hii jf ya kisasa, naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la msimamo wangu kuhusu hii kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu ili bandiko hili lisije kuonekana ni mimi nashabikia mtu anyongwe...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mke wa Lissu kama anataka kumuona Mume wake aje Tanzania na siyo kujilalamisha kwa Wazungu huko wasioweza kumsaidia kitu

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kumpa Taarifa Mke wa Lissu kuwa kama anataka kumuona na kuonana na Lissu basi apande ndege na kuja Nchini ili aende gerezani kuonana naye na siyo kuongea ongea na kujilalamisha kwa wazungu kana kwamba amezuiwa kuja kumuona lissu Gerezani. Aache mara Moja...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samia na Tundu Lissu nani Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu

    Hilo swali hapo juu huwa linanisumbua. Nikiwaangalia wawili tajwa, na;pata taabu kidogo. Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu. Wawili hawa wametawala siasa za nchi yetu hadi kuanza kuvutia mataifa na mashirika ya nje. Lissu ni mfungwa. Samia ni rais. Lissu anajionyesha kama...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu: Majaji watatu wa Court of Appeal hivi inawachukua siku ngapi kuandika uamuzi mdogo tu wa pingamizi la DPP?

    Kesi ya Tundu Lissu imejaa drama kwelikweli... Inashangaza kuona kuwa, kumbe hata mahakama ya rufaa (Court of Appeal) nayo imeshikwa "makende" na watawala wahuni na wauaji wa ndugu zetu 29/10... Lakini ukimsikiliza Chief Justice katika hotuba zake, utadhani ni mtu wa haki kwelikweli. Kumbe...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha. Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza Akizungumza na waandishi wa habari...
  15. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ametoa wito wa kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akidai kuwa hana hatia na kwamba amekuwa akizuiliwa kutokana na misimamo na uwezo wake wa kujenga hoja. Akizungumza na waandishi wa habari, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu amekaa...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: "I don't want to die, I love life but they are moments when you prepare to pay the ultimate price"

    👆 Haya ni maneno ya Lissu ambayo nimeyasikia akiwa anahojiwa kwenye documentary ya bbc. Mwanadamu atabadilisha nguo, wapenzi na misimamo ila hawezi akabadilisha asili yake ndani yake.
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Je, mapambano yake yamefika mbali kupita kiasi?

    Chanzo: BBC BBC Africa Eye inamwangazia kiongozi wa upinzani wa Tanzania aliyeko kizuizini, Tundu Lissu, ambaye sasa anakabiliwa na changamoto kubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa. Baada ya kutumia zaidi ya mwaka mmoja kizuizini kwa mashtaka ya uhaini, Lissu hapiganii tu uhuru wake bali...
  18. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: ni heri Tundu Lissu afungwe maisha jela ili tupate Katika Mpya iliyo bora, hata kuandamana kutakuwa sahihi.

    Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM wanataka Katiba yakuendelea kubaki madarakani nao makapuku wenzangu wao ndio hawajui chochote zaidi ni...
  19. JamiiForums Tanzania BBC Africa imeachia Documentary mpya kuhusu Tundu Lissu. Mke wake Lissu Alicia nae yumo

    Wakuu, Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

    Ahsante BBC. Endeleeni kumuangazia mwanga huyu dikteta muuaji Samia. Hii makala imerushwa mapema leo Jumapili, Julai 12, 2026. https://youtu.be/9V11iRcPX1A?is=XxVPX6elzuSWUZI-
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…