tundu lissu

  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa "Kingmaker" atakuwa hatari zaidi kwa CCM

    Kama nia ya CCM, serikali zake na dola ni kumwekea doa Tundu Lissu kwa kumhukumu katika kesi ya Uhaini ili akose sifa za kuwania au kuwa Rais wa JMT, wanaweza kuwa wanafanya kosa kubwa kwao la kisiasa. Lissu akiwa "Kingmaker", atakuwa na nguvu na ushawishi mkubwa zaidi na labda anaweza kufanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua, baada ya hii kesi ya Uhaini, hawataweza tena kumkamata wala kumshitaki Tundu Lissu?

    Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia. Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya...
  6. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Kweli Tundu Lissu ana nguvu ya ajabu. Watu wapo uraiani kama huyu anaitwa Habibu mchange bado wanapambana nae akiwa Magereza

    Huyu jamaa sijui ana cheo Gani ila kwa bahati mbaya nimepita kwenye social media nikakutana na clip yake akimzungumzia Tundu Lissu. Kiukweli nimekaa kama nusu sasa nikijiuliza huyu lissu ana karama ya aina Gani? Yupo sero ila wanapambana nae wakiwa uraiani Tena ukiwaona ni watu wanaonekana...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akimuandaa John Mnyika kwa Ushahidi wa uhaini

    Mashahidi wa Tundu Lissu wakipigwa msasa.
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Zambia, Brian Mundubile kupitia mapito ya Tundu Lissu. Mbinu za Tanzania za Uhaini

    Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza. Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake. Tanzania walitoa tamko la...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanavyomfuata Lissu utasema kama Yesu vile. Mtu hana pesa, hana power lakini watu wanamsikiliza na kujisikia amani kukaa karibu yake na kumuona

    Habari za leo. Sisi wengine tulishamuona Lisu tangu miaka 10 na kitu huko. Tulishagundua anakitu kikubwa sana. Nafahamu wapo wachache hawalikubali hili. Iwe kwa maamuzi yao lakini wanajua Lisu ni habari nyingine. Au kwa kutokujua tuu. Watu wanasema oooh! Mbona mitume siku hizi hawatokei...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani leo Agosti 28, 2026

    Zoezi la maswali ya dodoso kutoka kwa Jamhuri kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, litaendelea asubuhi hii Agosti 28, 2026 huku likitarajiwa kukamilika ili kutoa nafasi kwa shahidi mwingine kutoa utetezi wake. Kutokana na muda wa shughuli za...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa ushahidi wa Tundu Lissu

    Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo. Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa cross-examination ya mashahidi, hasa kuhusu tofauti kati ya contradiction na omission. Hoja ya msingi ni...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Waambie watu wangu sina dawa

    “Waambie watu wangu sina dawa” Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo ameomba msaada wa kupata dawa punde baada ya kuingia mahakamani. Mwenendo wa kesi umefikia katika hatua ya upande wa serikali kumuuliza mshtakiwa maswali ya dodoso baada ya Lissu kuwasilisha ushahidi wa kujitetea.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

    Hatua ya maswali ya dodoso (Cross Examination) kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, yanatarajiwa kutamatishwa leo Agosti 27, 2026 na kufungua mlango kwa shahidi mwingine wa Lissu kupanda kizimbani kwaajili ya kutoa utetezi wake. Jana Agosti 26, 2026, Tundu Lissu alihitimisha kutoa ushahidi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lisu anajitetea vizuri sana Mahakamani,lakini napenda niwakumbushe Mkuu, wa jaji Mkuu ni Samia na jopo lake

    Hii ni Kwa Tanzania TU,na nchi za hovyo kama hii. Tundu Lisu anajitetea vizuri sana Mahakamani,ana uwezo mkubwa sana wa kuonesha jinsi kesi yake kweli sio ya uhaini Bali ni kesi ya uongo na ni ya kisiasa. Ana uwezo wa kuonesha kua kesi hiyo Haina maana kabisa Kwa uhalisia na Kwa ushahidi...
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    "No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye...
  16. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Mizaha ya kukera ya Mh. Tundu Lissu, inafanya watesi Wake wamchukie Zaidi!

    Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu. Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ni MABADILIKO Gani Samia alitaka kuyafanya Nchimbi akawa kikwazo? Au ni kukataa kutoa katiba? Kuamulu Tundu Lissu auawe?

    Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi? Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu? Kumuuua Tundu Lissu? Kuamua yakuwa katiba mpya haitotokea kamwe hata akiuuwa? Ni yapi hayoo?
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alichomwambia Makamu John Heche asubuhi hii ya leo.

    LISSU: Heche ongeza Moto wameanza kutiana maini HECHE: Sawa Sawa https://www.facebook.com/share/r/1C33WuarN1/
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini, anatarajiwa kuhitimisha sehemu ya kwanza ya ushahidi wa utetezi wake, yaani ushahidi mkuu, ikiwa ni siku ya tatu katika mfululizo wa utetezi wake. Leo Jumatano, Agosti 26, 2026, Lissu...
  20. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Kesi ya Tundu Lissu ukoje??

    Ya Kujiuzulu.... Taarifa zimeshatufikia.. -Tuwaacheni Wafu Wazikane Wenyewe kwa Wenyewe-.
Back
Top Bottom