tundu lissu

  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nashitakiwa kwa kosa la kutengeneza "Nia ya kuitishia serikali ya JMT"

    Waheshimiwa Majaji kama nilivyosema mwanzoni kifungu cha 39 kama kilivyotengeneza sura zake 10 nilizotaja. Hakijaweka sharti la matokeo ya hiyo nia. Kwahiyo huwezi kuipata kwenye section 39. Hayo matokeo ya hiyo nia huwezi kuyapata kwenye case laws kwa maana ya ile ya Grey Likungu na Khatibu...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Niliandika humu, Kuliomba KANISA KUMTAFUTA NCHIMBI, Sijui kama nilipuuzwa, Leo TUNDU LISSU, amelitaka Kanisa kwa mara ya Kwanza, kumtafuta NCHIMBI!

    Unajua sisi wenye Akili Huwa tunakua na Fikra , Hisia zinazofanana !!. Nilitegemea KANISA litamke Waziwazi kumtafuta NCHIMBI , kama Kiongozi namba Mbili, lakini kama Muumini. Kumtafuta NCHIMBI ,ilikua ni sawa na kumtafuta PADRE anapotekwa. Kanisa lina HAKI ya kumtafuta NCHIMBI. Huyo ni...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nchimbi hajapatikana? Maaskofu kwa nini mnanyamaza? waseme kwenye makanisa yao

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, akiwa Kizimbani baada ya kuahirishwa kwa Kesi yake amehoji alipo aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, huku akiwataka viongozi wa dini kutonyamazia suala hilo. "Nchimbi hajapatikana? Waulizeni Maaskofu waseme...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwa Sheria yetu hakuna Uhaini wa Maneno

    Leo Septemba 25, 2026, Tundu Lissu ameendelea kutoa majumuisho ya mwisho Mahakamani kufuatia Kesi ya Uhaini inayomkabili. Katika wasilisho lake la leo, Tundu Lissu amesema kwa mujibu wa Sheria yetu iliyoundwa kutoka kwa Sheria ya Uingereza hakuna Uhaini wa maneno kama yeye anavyotuhumiwa kwa...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Iwapendeze ndugu Wana jukwaa la JamiiForums naitwa Manyanza, nipo tayari kuwaletea update za mahakamani. Kaa tayari kwa Updates ------------- MAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANAFANYAMAJUMUISHO YA MWISHO. SEHEMU YA 1, TAREHE 25.9.2026. Lissu ameshaingia Mahakamani, na Majaji nao wameingia...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Final Submission ya Lissu leo imenitoa machozi. Imeweka wazi jinsi Polisi kwa kushirikiana na DPP inavyoonea watu kwa mashitaka ya uongo!

    Kabla ya kusoma submission yake, nikukumbushe kuwa Tundu Lissu anashitakiwa kwa kosa la uhaini wa kutamka maneno.. 1. Tutazuia uchaguzi 2. Tunakwenda kukinukisha kwelikweli 3. Tutahamasisha uasi 4. Kuchapisha maneno hayo kwenye mitandao wa YouTube wa JamboTV Na mwisho Jamhuri kupitia kwa DPP...
  7. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatano, Septemba 23, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Mahakama kinatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uswahiba wa Prof. Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini tena?

    Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena? https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
  10. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

    Kiongozi Mwaipopo amewataka Watanzania kusimama pamoja na kumuomba Mungu ili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, afungwe, akimshutumu kwa kusababisha madhara makubwa na machafuko nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwaipopo ameeleza kuwa Tundu Lissu ni chanzo cha matatizo na kwamba...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai... MAJUKUMU YA DCI Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Mahakama: Numerolojia inavyofichua mkono wa hatma kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Katika elimu ya namba Tundu Lissu anahesabika kuwa na mtetemo wa namba tisa (9) namba ambayo ina misukumo ya uanaharakati, utetezi wa haki na mabadiliko ya Jamii. Mtetemo wa namba tisa (9) humfanya mtu kuongozwa na kutafuta haki, kutohofia mapambano dhidi ya mifumo na maisha ya misukosuko...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Je, leo wahudhuriaji mahakamani walishuhudia Tundu Lissu akimuandaa shahidi wake DCI Ramadhan Kingai?

    Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa. Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai alipoenda mahakamani, alizungumza na kujadiliana na Tundu Lissu na kumwambia maneno ambayo Lissu alikuja...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tundu Lisu hakutaka kabisa mwanasheria mkuu wa Chadema awe miongoni mwa mashahidi wake muhimu?

    Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini? Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani? Au, Je, hamuamini mwanasheria huyo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu itaendelea tena mchana leo, Ijumaa Septemba 18.2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru inakuja...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Jeshi la Polisi hawatoitikia wito wa mahakama kesi ya Uhaini ya Lissu?

    Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani. 1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea na mazingira ya shauri na Mamlaka ya Mahakama ama sababu walizotoa hazina mashiko. 2- Adhabu...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lissu ateuliwe kuwania Tuzo ya Amani ya Nobeli kwa mwaka 2027

    Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobeli 2027. Kama mwaka jana Corina Machado ndio alishinda, sioni kwa nini Lissu...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  19. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Libakiriwe sana tumbo lililomzaa Tundu Lissu

    Nipende kusema nimeona wanaharakati wengi sana waliojaribu kuwa challenge watawala wa nchi hii, nadiriki kusema Tundu Lissu ndiye mpenda haki pekee asiye na bei amepambana sana bila malipo akisimamia haki za wa Tanzania wasiojua haki zao, Niseme mengi ila wazazi wa Lissu mlizaa hatuna deni na...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
Back
Top Bottom