tundu lissu

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alivyokuwa akibishana kwa hoja na Spika Anna Makinda, Bunge lilikuwa la moto sana

    Moja ya mijadala ilivyoendeshwa katika Bunge la 10, Mkutano wa 18 Kikao cha 3, ambapo Tundu Lissu akiwa ni Mbunge kupitia CHADEMA alivyochangia hoja huku Spika wa Bunge, Anna Makinda naye akitoa muongozo. Hii ilikuwa Januari 29, 2015. Hoja kuu iliyokuwa inachangiwa ni kuhusu suala la Mwenyekiti...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufikishwa Mahakamani kesho Mei 25, 2026 kusikiliza Maombi yake kuunganishwa kesi ya mgawanyo wa Mali

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatatu, tarehe 25 Mei, 2026 Mwenyekiti wa chama taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu atafikishwa mahakamani. Mheshimiwa Lissu atafikishwa kusikiliza maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya mali za chama kwa nafasi yake...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Walimpiga Lissu risasi ili ionekane ni Serikali

    Hebu fikiri tu kuwa, huyu eti ndiye PM wa Tanganyika. Ndiye mshauri wa karibu wa Rais Samia. Kwanini tuendelee kushangaa kwa kuwa na serikali inayojua kuteka, kutesa, kufira, kulawiti na kuua tu wakosoaji wake..? Kwa sababu, ukimsikiliza huyu jamaa (Nchemba), unakosa kabisa coordination ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji

    Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

    Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) atekwa

    Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam. Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kanda ya Kati: Tunahitaji Tundu Lissu awe huru, Haki inachelewa kupatikana

    CHADEMA Dodoma Yatia Shaka Mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu 'Haki Inachelewa Kupatikana' wakiendelea kusema wanahitaji Mwenyekiti wao Tundu Lissu awe huru kwa sababu kesi iliyomuweka ndani mwaka mmoja na mwezi ni kesi ya kubabikiziwa. Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Ashura...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche: Tundu Lissu alipewa chungwa kidogo, papai, kipande cha nanasi na embe. Alipomaliza kula, tumbo likaanza kumuuma vibaya

    Tundu Lissu aripoti kupata maumivu makali ya tumbo 'toka kuzaliwa' baada ya kupewa vipande vya matunda. Akiutaarifu umma, makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa Lissu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo. "Nimeongea na Dk. Nshala, mwanasheria mkuu wetu wa chama. Ameniambia...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Heche nakusihi itisha maandamano Tanzania na Duniani kote ili Tundu Lissu aachiwe

    Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe. Najua Watawala wote dhalimu huwa wanaogopa maandamano.
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu na John Heche walivyokizika chama Chadema kwa mihemko na chuki

    Malengo ya waasisi wa CHADEMA yalikuwa ni kukijenga chama kwenye misingi imara ya kisiasa nchini kikisimama kama taasisi kuu ya upinzani iliyokusudiwa kutoa ushindani wa kisera na kuwa mbadala wa fikra baada ya CCM. Hata hivyo mwelekeo huo wa kimaono ulianza kupotea na kuyumba pale chama...
  11. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Nimeachia Wimbo Maalum wa Tundu Lissu — Karibuni Kusikiliza

    Nimeachia wimbo mpya unaomzungumzia Tundu Lissu kwa style ya kipekee. Nimeuweka kwenye website yangu mpya ya http://sosybrown.vercel.app Ukisign up utaweza kuusikiliza pamoja na kuona project nyingine zinazokuja Karibuni mu-support kazi ya kijana wa Kitanzania 🙏 Ningefurahi kupata maoni yenu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya TLS kuhusu Ripoti ya Tume ya Jaji Chande na Kesi za Jinai zinazomkabili Tundu Lissu

    TAARIFA YA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TATHMINI YA TAARIFA YA TUME YA JAJI CHANDE KUHUSU MATUKIO YA OKTOBA 29 MWAKA 2025, ILIYOTOLEWA TAREHE 23 APRIL 2026 PAMOJA NA KESI ZA JINAI ZINAZOMKABILI TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU. 11 Mei 2026, Dar es Salaam 1.0...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Ni rahisi kuchimba Tanzanite Kinondoni badala ya Mererani kuliko kumuona Tundu Lissu gerezani

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ameeleza kuwa rekodi za mahakama tangu Kisutu zinaonesha wazi kuwa upande wa mashtaka ndio umekuwa ukichelewesha kesi ya Tundu Lissu. Amebainisha kuwa kukaa mahabusu kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Miezi 3 hakuna dalili Mahakama ya Rufaa kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, amesema kile alichokiita "mbinu za makusudi" za upande wa mashtaka kuchelewesha shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TLS Wanatoa Tamko Juu ya Tume ya Jaji Chande na Tundu Lissu

    https://www.youtube.com/watch?v=ex4HupJgtOg
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kisiasa kati ya Tundu Lissu na Abdul Nondo?

    Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Just imagine kisa madaraka, Lissu amekumbatia kuta za gerezani, jaji, hakimu na Rais wapo na wake na wenza wao muda huu

    Niwe mkweli nipo na mama yenu namwamsha taratibuuuu! Just imagine, kisa madaraka Tundu Lissu muda huu amekumbatia Kuta za gerezani kwa kosa la uhaini ili Hali sio muhaini. Wewe wakili wa Serikali na majaji mnasinamia kesi yake mmekumbatia wake ZENU na waume ZENU ili ccm iebdelee kutawala...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba Mpya, FreeTundu Lissu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kitaanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake ya kisiasa na kijamii inayolenga kuhamasisha mabadiliko ya Katiba pamoja na kudai uhuru wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Video: Muonekano wa Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakamani leo Aprili 30, 2026

    Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake. Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake
Back
Top Bottom