Leo nimetafakari juu ya kukosekana kwa Mbowe wala kauli yake kwenye hali ngumu inayopitia Tanzania
Nikafikiria hivi kweli hawa watanzania ni watu wa kuwapigania mpaka tone la mwisho? Nikawahesabu watu kadhaa waliorisk maisha yao wakiwatetea watanzania. Nikamkumbuka Tundu Lissu na Mbowe na...
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...
!!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!!
_______________________
JE, UKO TAYARI Dokezo!
Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿
Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano.
Siku zote...
Wenje ameendelea kujimaliza, mwenyewe na kujiona mjanja
Tumika baba!
====================
Mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, jumla ya kesi 417 zilifutwa, ikiwemo kesi sita...
Mhe. TunduALissu anauliza;
1. Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao?
2. Mama anasemaje juu ya balozi wake Humphrey Polepole au ni kazi na utu?
==========================
Baada tu ya kuingia kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya...
Yaan haya maajabu , unakua na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi ambao kupatikana kwao si Kwa Mujibu wa PGO Bali Kwa Mujibu wa kutoa Ahsante Kwa kazi ya Kiovu iliyofanyika.
Mkianza na George Hadi huyu Kaaya wa Leo, UTAGUNDUA ni wahuni Ndani ya koti la Polisi !
Hawafai hata kua Migambo!!.
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mapema leo, Jumatatu Oktoba 13.2025 imetoa 'uamuzi mdogo' kufuatia pingamizi lililokuwa limewekwa mwishoni mwa juma lililopita na upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa kusikilizwa leo.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche hii leo Oktoba 10, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama kuu kanda ya Dar Es Salaam amesema kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ifutwe ili gharama zinazotumika kipindi hiki cha kuendesha kesi hii ikasaidie...
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Jumatatu Oktoba 13, 2025.
Kesi hiyo ilikuwa ikiunguruma leo Oktoba 10, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo leo Lissu alikuwa akimhoji shahidi wa pili...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Oktoba 10.2025 kwaajili ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili
Kesi hiyo ambayo inasikilizwa kwa mfululizo Mahakamani...
Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo!
Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania
===================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimbani cha Mahakama Kuu...
Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu .
Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
"Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa mahakamani katika Kesi hiyo ambayo mshtakiwa anajitetea mwenyewe, leo imekuja kwaajili ya Mawakili wa Jamhuri kumuhoji 're-examination' shahidi namba moja (1) wa Jamhuri ACP George Willbert Bagyemu baada ya mshtakiwa kumaliza kumuhoji maswali ya...
Part 74
Mhe. Lissu: Je unafahamu December 2020 mshitakiwa alipata tuzo inayoitwa BushThetcher Award for freedom kwasababau ya kupigania haki za binadamu?
George: Sifahamu
Mhe. Lissu : Je unajua mwaka jana TLS walimtunukia tuzo kwa utumishi wake ndani ya Chama cha Mawakili Tanganyika...
Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji.
Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake George waliyaongoza wao wenyewe Kwa kisingizio Cha Kupambana na Ugaidi.
Unaniuliza, kama tatizo ni...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu
Waheshimiwa Majaji jana mliotoa order ya watu kuingia mahakamani kama sheria inavyosema na kama mlivyoelekeza. Mimi nilileta majina na mmoja wa watu wanaotakiwa kuingia ni mgeni wangu kutoka nje. Naambiwa amezuiliwa na uhamiaji hapa mlango wa mahakama...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, akiwa kizimbani leo amesema kwa kujiamini "Nipo Imara, enyi wa imani ndogo acheni uwoga," kauli ikionyesha msimamo wake thabiti na imani ya kutoyumba licha ya changamoto zinazomkabili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.