tundu lissu

  1. Erythrocyte

    Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

    Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa . Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
  2. M

    Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  3. B

    Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

    Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa. Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa. Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita. Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli...
  4. B

    TBT: Oktoba 2020 Ukituma meseji yenye Jina la Tundu Lissu ilikuwa haiendi

    Tujikimbushe kidogo zahama zilizotukuta. Sijui kilitokea kirusi gani kwenye jina la Tundu Lissu wakati wa kampeni za Lala Salama ilikuwa ukituma ujumbe mfupi kwenye mitandao ya simu aina zote ujumbe ule ulikuwa haupelekwi hewani au haumfikii mlengwa. Mathalani unachati na rafiki yako kwamba...
  5. kavulata

    Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

    Rais wa nchi yetu awe na sifa zipi? Je, ni nani anazo sifa nyingi za kuwa Rais ajae? Je, Tundu Lissu anazo sifa hizo pia?
  6. J

    Ziara za Tundu Lissu mikoani zina Ubunifu wa Uhutubiaji ndio sababu Wananchi humuona kama Nabii

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF. Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini" Tofauti na mtu kama Zitto au Prof...
  7. Maan

    Hivi kwanini Tundu Lissu hakuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Magufuli kwa kipengele cha kuwa namba 2 katika kura za Wananchi

    Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili. Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
  8. Kabende Msakila

    Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

    Salaàm! Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi. Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye...
  9. Rutashubanyuma

    Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo. Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
  10. B

    Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

    Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema. Je naye TL mikito yake si mnaijua? Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana. Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora. Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa...
  11. Wadiz

    Kwa asili kuna ishara Tundu Lissu ni Dikteta na Much know hafai kwenye nafasi ya Urais na Uenyekiti

    Wasalaam Bazzukulu, Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa. Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za...
  12. econonist

    Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  13. ChoiceVariable

    Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

    Atarejea kufanya Mkutano Wake Karatu au ndio katishika? Ikumbukwe kabla na hata baada ya kushambuliwa na risasi, Lissu hajawahi kamatwa na Polisi. Mara ya mwisho ni Ile aliyokimbilia ubalozini kukwepa Kukamatwa. Soma: Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana
  14. R

    Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema viongozi hao wametakiwa kesho saa tatu asubuhi kuripoti...
  15. Erythrocyte

    Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake

    Ukweli ni Kwamba, lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake, kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na Serikali ya Tanzania, wa kuwahamisha kwenye maeneo yao mithili ya nguruwe ama mifugo mingine. Lissu...
  16. S

    Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X. - Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha...
  17. Poppy Hatonn

    Nadhani Tundu Lissu ataachiwa kesho asubuhi.

    Kwa sababu huyu Tundu Lissu ni naturally kind. Hana hasira kama nyati. Halafu lengo la kumkamata limekwishatimia. Alikuwa anataka kwenda Ngorongoro kuwalaghai wale Wamasai illiterate. Lakini polisi wamemzuia. Nitaandika zaidi,lakini sasa nataka kwenda kwenye sala ya Ishaa. No,labda niandike...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

    Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
  19. Teko Modise

    Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  20. Erythrocyte

    Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA...
Back
Top Bottom