NB: Nina Akili Ndogo Sana
Binadamu au kiongozi yeyote yule hapaswi kutukanwa (Hata kama ni wa CHADEMA au CCM. Kiongozi au Binadamu anapaswa kukosolewa "in a constructive manner" na sio kutukanwa ama kumdhalilisha.
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na wasenge wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibia😂. Haki itendeke!.."...
Binafsi sio mshabiki wa Chadema Wala Chama chochote cha kisiasa ila nimekuwa nikijiuliza hili swali Ebu jaribu kuondoa ushabiki wa kisiasa tuuvae ubinadamu jamaa kapitia changamoto kubwa sana imagine kapigwa risasi kumi na 6 na zote zimeingia mwilini tena eneo kapigiwa ni la wazi lakini cha...
Hamna namna yoyote Serikali ya Samia na CCM na Magenge yao yote wanaweza kumpigisha Lissu Magoti.
Huyu Lissu huyu mnayehangaika naye Alishakionja KIFO, kwake Kuishi ni Kristo Yesu ,Hana anachoogopa, Hana anachoofia!.
Kwa Lissu kupiga Magoti ni usaliti Mkubwa wa Nafsi yake na uwezo wake wa...
Nilichokiona haraka baada ya Lissu kuambiwa anakesi ya kujibu ni utafutwaji wa muunganoko wa matukio ya tarehe 29/10/2025 na KAULI ya no reform na no election dhen aambiwe yeye ndo alisababisha watu waingie mtaani.
Hoja itakuja yeye sawa alishawishi je hao walioandamana walistailo walichopata...
Wanabodi
Utangulizi Kuhusu Mashuhuri na Maarufu
Mtu mashuhuri nambari moja, kwenye nchi yoyote ni mkuu wa nchi, rais, ila kunaweza kuwa na mtu mwingine ambaye sio mashuhuri, na akawa ni maarufu kuliko mkuu wa nchi!. Kwenye Uzinduzi wa TASAF II Uwanja wa Jamhuri Dodoma, mgeni rasmi ni Rais JK...
My friendes, ladies and gentleman in politics,
I can confirm to you without fear of contradictions that,
muungwana anaesota korokoroni, kwa hakika kabisa ametenda makosa yanayomsotesha korokoroni mpaka sasa na kila mTanzania aliona na alisikia kwa masikio yake mwenyewe, nia, madhumuni na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Agosti 21, 2026 amesema Rais Samia Suluhu amejiweka madarakani kwamba hakuchaguliwa na Wananchi na alianzia ndani ya chama chake kwa kujiteuwa mapema kabisa bila hata bunge kuvunjwa, "amemuweka Lissu ndani ili ajiweke madarakani"
Soma Pia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia hatua ya kuzuiliwa na kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu.
Heche amesisitiza...
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni...
Baada ya Mahakama kutoa uamuzi kwamba mshtakiwa Tundu Lissu ana Kesi ya kujibu, Lissu amesema kwamba atakuwa na mashahidi 11 ikiwemo yeye mwenyewe kujitetea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu Dkt. Mpango, Waziri Mkuu mstaafu...
Kuna mambo yanaweza kuwaweka Serikali kwenye mtego kwa kila maamuzi yatakayofanyika kwenye kesi ya Tundu Lissu.
Kama Serikali itamfunga Tundu Lissu haya ndio yanaweza kukutana nayo:
1. External pressure, nchi za Ulaya zitazidi kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania kwa uzito mkubwa sana...
Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi.
Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake?
Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini?
Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia vifaru na kuiteka Rtd
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kwamba tokea Tundu Antiphas Lissu alipokamatwa kumekuwepo na vitendo ambavyo vimeambatana na mazingira ya ukiukwaji wa haki, ikiwemo matukio ya waandishi wa habari kupigwa, vizuizi kwa mawakili upande wa Lissu pamoja na mambo...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.
Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kubaini kasoro na changamoto mbalimbali za kisheria zilizojitokeza wakati wa kukamatwa, kufikishwa mahakamani na kuwekwa mahabusu kwa kiongozi wa chama cha upinzani, Tundu Lissu.
Akiwasilisha taarifa ya ufuatiliaji wa shauri...
Je Mzanzibari Samia Suluhu Hassan kaajiandaa kumtetea Lissu? Kajiandaa kupigwa Maswali ya dodoso na Tundu Lissu?
KAMA MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?
Na Emily Mwakilembe
Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu...
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi...
Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.