"Lema hajaelewa somo" Tundu Lissu

"Lema hajaelewa somo" Tundu Lissu

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,286
Reaction score
3,566
"LEMA HAJAELEWA SOMO" TUNDU LISSU

"Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,hajaelewa somo!?" Hajaelewa zilisikika sauti za wafuasi wa Chadema,

Lema akazuga mkuu mbona unagain weight,meseji sent,je huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati kachana nywele style ya panki huku wenzake wakiwa wamesokota nywele mtindo wa rasta wakimuenzi mfungwa Tundu Lissu ambaye hachani nywele zake kwa muda sasa akiwa mahabusu ikiwa ni mwaka na miezi kadhaa.Je huyu jamaa asiyeelewa somo yupo kwenye mgomo baridi au anatumikia maslahi yake na sio ya Chadema.

#Muda ni Mwalimu,Lema na lake jambo.
 
"LEMA HAJAELEWA SOMO" TUNDU LISSU

"Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,hajaelewa somo!?" Hajaelewa zilisikika sauti za wafuasi wa Chadema,Lema akazuga mkuu mbona unagain weight,meseji sent,je huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati kachana nywele style ya panki huku wenzake wakiwa wamesokota nywele mtindo wa rasta wakimuenzi mfungwa Tundu Lissu ambaye hachani nywele zake kwa muda sasa akiwa mahabusu ikiwa ni mwaka na miezi kadhaa.Je huyu jamaa asiyeelewa somo yupo kwenye mgomo baridi au anatumikia maslahi yake na sio ya Chadema.

#Muda ni Mwalimu,Lema na lake jambo.
hawajui historia ya lema wakati wa kupiga malori.

Akitibua minywele anakua kama anawakumbusha watu kipindi alivykua anapiga malori ya watu, kwahiyo hawezi kufanya hiyo ujinga ya kutibua minywele kama wendawazimu 🐒
 
"LEMA HAJAELEWA SOMO" TUNDU LISSU

"Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,hajaelewa somo!?" Hajaelewa zilisikika sauti za wafuasi wa Chadema,

Lema akazuga mkuu mbona unagain weight,meseji sent,je huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati kachana nywele style ya panki huku wenzake wakiwa wamesokota nywele mtindo wa rasta wakimuenzi mfungwa Tundu Lissu ambaye hachani nywele zake kwa muda sasa akiwa mahabusu ikiwa ni mwaka na miezi kadhaa.Je huyu jamaa asiyeelewa somo yupo kwenye mgomo baridi au anatumikia maslahi yake na sio ya Chadema.

#Muda ni Mwalimu,Lema na lake jambo.
Yaani umeandika mataputapu kweli... nazichukia mno shule za kata
 
je huyu jamaa asiyeelewa somo ni double agent
Duh...!, badhi ya members wa Chadema mnachekesha sana, mnataka kuifanya Lissu hair style ya Dedan Kimati, kuwa ndio official Chadema hair style, kiongozi asiyeiga mtindo
huo, mnamyooshea kidole cha usaliti, na kumuita ni msaliti!, sasa mnataka kumuanzishia Lema tuhuma za usaliti kama mlivyomfanyia Zitto?.
,huyo jamaa ni nani ni Bwana Lema aliyetokea kitanashati kachana nywele style ya panki huku wenzake wakiwa wamesokota nywele mtindo wa rasta wakimuenzi mfungwa Tundu Lissu ambaye hachani nywele zake kwa muda sasa akiwa mahabusu ikiwa ni mwaka na miezi kadhaa.Je huyu jamaa asiyeelewa somo yupo kwenye mgomo baridi au anatumikia maslahi yake na sio ya Chadema.
Je mtindo huo wa nywele ni the official house style ya chama or ni personal preference?
#Muda ni Mwalimu,Lema na lake jambo.
Naunga mkono hoja, muda ni Mwalimu mzuri, mimi nasimama na Lema, sio kila mwana Chadema ni nyumbu kufanya mambo kinyumbu nyumbu, hair style is personal preference, kama unaweza kutimua nywele kama kichaa au kufuga rasta its ok, na wasio iga waacheni, waheshimuni, Lema ni kada muhimu sana kwa Chadema, amewaazima CCM jimbo la Arusha for 10 years, 2030 analirejesha, msimuanzishie dhana ya usaliti kwa kudemand openness and transparency on financial matters za matumizi ya fedha za kuchangia chama!

Please stop this!

P
 
Duh...!, badhi ya members wa Chadema mnachekesha sana, mnataka kuifanya Lissu hair style ya Dedan Kimati, kuwa ndio official Chadema hair style, kiongozi asiyeiga mtindo
huo, mnamyooshea kidole cha usaliti, na kumuita ni msaliti!, sasa mnataka kumuanzishia Lema tuhuma za usaliti kama mlivyomfanyia Zitto?.

Je mtindo huo wa nywele ni hou
Mleta uzi huu ni mccm mwenzako.
 
Duh...!, yaani mwana CCM amuanzshie dhana ya usaliti mwana Chadema ?!.
No way!
P
Pascal Mayalla ukiacha wewe pekee yako, CCM wenzako wote huku jukwaani ni nyuzi za kiuongo uongo zisizo na mashiko wala ushahidi. Naona hata PM wako ameiga hiyo style yeye anasema hadharani(jukwaa la waziri mkuu) kana kwamba watanzania hawana bongo za kuchagua taarifa za kweli na uongo.

unakumbuka uliohoji kuhusu wale watu waliovuka mipaka na kuja kufanya vurugu tarehe 29 ambapo Rais wako alilitangazia Bunge umeshajibiwa mpaka leo wako gereza gani au ni wakina nani? Hiyo ndio CCM yako baba wa uongo kama baba wao wa uongo shetani alivyowafundisha. Muda wenu umefikia tamati uongo umezaa uovu na mauti
 
Kwa akili zile za Mwenyekiti tusishangae siku kaja Mahakamani Tumbo wazi 🤠🤠

Wazalendo kwa Mwenyekiti wao ❗️
Kina Bonn!!!
waanze kukuna Vichwa mapema 🫡🫡
 
Back
Top Bottom