tundu lissu

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tundu Lissu umezimwa ghafla na Zito kabwe Tayari ZITO amempiku. rasimi TUNDU LISU Tayari 2020 October Magufuli vs Zito CHADEMA out.

    Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana. Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu njoo uwaombe msamaha watanzania uongo wako umedhihirika leo

    Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wadhamini hawawezi kunirudisha Tanzania, nitarudi nikihakikishiwa usalama wangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu amesema anawaonea huruma waliomdhamini katika kesi ya uchochezi inayomkabili, kuiomba mahakama itende haki kwa kuwa hawawezi kumrejesha Tanzania. Lissu ambaye kwa sasa yupo nchini Ubelgiji anakabiliwa na kesi ya uchochezi katika mahakama ya...
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu yupo nchini?

    Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm. Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kura yangu ni asilimia 100% kwa Tundu Lissu

    .
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tundu Lissu anasoma michango yetu humu JamiiForums?

    Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo? Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi? Sky eclat Erthrocyte Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post yangu? Basi kupitia Uzi huu nimuombe tal afungue I'd yake ambayo ni verified ili tuweze...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika kwa CHADEMA kutangaza tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu kuwa tukio la kigaidi

    Ni miaka sasa tangu Mbunge Shujaa wa taifa Tundu Anthipas Mughwai Lissu (TAML) kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku dalili zikionyesha kuhusika kwa baadhi ya watu wenye mahusiano na serikali ya CCM na vyombo vya usalama. Ushauri wangu ni kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu ambacho Bwana Mkubwa amekiandika kwa muda wa miaka 4 na miezi miwili sasa

    Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini. Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea...
  9. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla, PEOPLE'S Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja. Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
  10. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anamuunga mkono Cecil Mwambe ndio kisa cha Kubenea kuondoa jina lake

    Inasemekana kuwa mwanasheria mkuu wa Chadema wakili msomi Tundu Antipas Lisu anamuunga mkono Cecil Mwambe kwa nafasi ya mwenyekiti. Tetesi kutoka korido za Ufipa zinadai Tundu Lisu anapendelea zaidi kufanya kazi chini ya Mwambe kwa sababu siasa za zama hizi hazitaki mambo ya usiri usiri na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

    Sasa ni Rasmi.Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chao leo cha kikatiba kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika Jumatano Desemba 18. Katika kuonyesha kukomaa kwa Demokrasia ndani ya chama hicho Kamati Kuu iliwahoji wagombea...
  13. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ya Kujitoa Tanzania Mahakama ya Afrika

    Hii habari ya Tanzania ya Magufuli kujitoa kwenye Mkataba wa Uanzilishi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na za Wananchi ni jambo kubwa sana. Ni ushahidi mwingine wa wazi wa utawala wa kiimla unaokanyaga haki za binadamu na za wananchi wetu. Kwa Mkataba huo tuliouridhia siku za mwisho...
  14. DAT BOY SU

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tunapokwenda tunaweza kuja kuwa na sheria zitakazotungwa kwa lengo la kuwazuia baadhi ya watu tishio kugombea nafasi nyeti hapa nchini

    Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge. Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

    WanaJF Habari za hivi Punde ni kwamba Jabali la kisiasa Tanzania na Afrika Tundu Antipas Lissu amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa na tayari amekwisha jaza fomu na kuzirejesha. Akihutubia mkutano mkuu wa Kanda ya Kaskazini hivi Punde,Mwenyekiti wa chama Taifa Freeman...
  17. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

    Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya! Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu! VIVA TUNDU! Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula. Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
  19. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Our learned brother Tundu Lissu in fluent English

Back
Top Bottom