Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,206
1,509
Tundu Lissu ni mtu mmoja anayejua kujenga hoja sana. Amethibitisha kwamba yeye si mahiri ndani ya nchi tu, bali pia kwenye majukwaa ya kimataifa ambayo yanatisha kwa mtu asiye na uzoefu.

Tofauti na "waandishi" wa habari wa Tanzania ambao hawajui hata kuuliza maswali magumu, waandishi wa habari wa nchi za magharibi ni wazuri hasa. Ukiwaangalia waandishi mahiri kama Stephen Sackur, Andrew Marr au Chris Cuomo mpaka unaona raha! Nafikiri wanasiasa wengi wa Tanzania wakihojiwa na hao niliowataja wanaweza kuzimia kwenye mahojiano! Hata hao wanaojifanya madokta na maprofesa.

Nafikiri umahiri wa Lissu ndiyo sababu kubwa inayowafanya wapinzani wake wa kisiasa kumwogopa kwenye midahalo!!

Video: Chris Cuomo akimuhoji mgombea wa Senate Kris Kobach

 
Usiikwepe point yangu bwashee, unafananisha ngeli ya Kamanda Lissu na ya jiwe?

Jiwe huyu huyi asiyeweza kuzungumza kiingereza chake yeye kama yeye(kisichoandikwa)
Lisu amesomea Lugha kwahiyo watu wa kumfananisha nao lakini wamemwacha mbali sana ni hawa akina Tulia Ackson na Palamagamba Kabudi.

Mtu wa sayansi ngeli inamsaidia nini? Tatizo hapo Ufipa hakuna wanasayansi wamejazana watu wa " Tokomeza Kisarawe" watupu!
 
Back
Top Bottom