Awali ya yote namshukuru Mungu Mwenyezi Mwenye Nguvu zote aliyotenda Muujiza ambao kila mtanzania mwenye macho aliona. Uhai wako ulikuwa kitu Cha thamani sana kwa sababu maalumu.
Kwaniaba ya Chama Changu Cha Kidemokrasia, Chama Cha Mapinduzi niseme maneno machache karibu CCM. Karibu uitumie...