Tundu Lissu atembelea kaburi la Marehemu Bilago

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,375
Mgombea Urais wa CHADEMA leo ameingia Buyungu na kwenda kwenye kaburi la Hayati Mwl Bilago aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA na kuomba dua ambayo ilikuwa maalum kwa ajili marehemu huyo mpiganaji na kamanda aliyetangulia mbele za haki.

On a campaign swing through - Kigoma, I'd the honor of visiting the final resting ( 800 X 640 ).jpg
 
Mgombea Urais wa Chadema leo ameingia Buyungu na kwenda kwenye kaburi la Hayati Mwl Bilago aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema na kuomba dua ambayo ilikuwa maalum kwa ajili marehemu huyo mpiganaji na kamanda aliyetangulia mbele za haki.

View attachment 1575507
Mungu amlaze pema peponi mwalimu Bilago.

Tundu Lisu amuache mwalimu apumzike kwa amani, aache kumtumia kisiasa kwani siyo uafrika
 
Back
Top Bottom