Uchaguzi 2020 Michango kwa Tundu Lissu: Huyu mbeba mizigo Kariakoo amenitoa chozi

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfahamu kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli...

Sasa Jana kama kawaida niakenda kariakoo (Sijaonekana kwa muda) nikamuuliza Jay vip mambo ya Kampeni utapeleka kura CCM kama kawaida mzee au vipi, majibu yake yameniumiza sana, amenijibu " Mimi ni Mwana CCM damu damuni, naipenda sana Serikali yangu, ila tukio la Lissu kupigwa Risasi lilinihuzunisha sana, sasa bwana Kipindi kile sikuwa na chochote cha kumchangia kwa kuwa nilikuwa namuuguza mke wangu, sasa mwaka huu mchango wangu kwake ni KURA yangu kama pole yangu kwake kwakuwa bado hata pesa ya kumpa sijaipata"

Dah.. that hits me hard!
 
Mimi ni Mwana CCM damu damuni, naipenda sana Serikali yangu, ila tukio la Lissu kupigwa Risasi lilinihuzunisha sana, sasa bwana Kipindi kile sikuwa na chochote cha kumchangia kwa kuwa nilikuwa namuuguza mke wangu, sasa mwak huu mchango wangu kwake ni KURA yangu kama pole yangu kwake kwakuwa bado hata pesa ya kumpa sijaipata
 
Sema kweli Mkuu hukuangusha chozi?

Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfaham kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli...
 
Katika Mishe mishe zangu Kariakoo kuna jamaa huwa ananishushia mizigo kwenye gari, Kijana mchangamfu mwenye bashasha na anependa sana kujadili mambo ya siasa, nimemfaham kwa muda sasa.. anampenda sana Rais Magufuli...
Kumekucha!
 
Safari hii ccm tumeshikwa vibaya sana, bora cdm wangemsimamisha Nyarandu tungepata hoja ya kumchafua kwamba ni fisadi. Sasa huyu Lissu tulianza na hoja ya mabeberu, imebuma baada ya Lissu kuwajibu mlikuwa mnalilia fedha zao mabeberu wakati zitto alipozuia, hyo hoja haina nguvu tena, tumebaki na hoja ya ndege,ndege ,ndege kana kwamba kila mtanzania amenunuliwa ndege. Tusubiri tu huruma ya watanzania, ila uhakika wa kufikisha 50% haupo tena.Majimbo ambayo wagombea wa ccm wamepita bila kupingwa, wananchi wamecharuka watampa kura Lissu na lissu ataongoza maeneo hayo
 
Back
Top Bottom