tundu lissu

  1. Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

    Augustino Chiwinga 0756810804. Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma. Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa...
  2. A

    GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana. Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila...
  3. VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
  4. P

    Tundu Lissu na Magufuli, mtaondoaje mirundikano ya kesi mahakamani?

    Katika kipindi hiki cha kampeni nimesikia kila mgombea akinadi atakavyoboresha maeneo ya sekta kadhaa ya nchi yetu. Lakini sijasikia mgombea aliyeahidi kuboresha mahakama zetu na ziondokane na misongamano iliyopo kule. Nimeona uhuru wa mahakama ukiongelewa kwa juu juu. Nadhani wanasiasa wote...
  5. W

    GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  6. VIDEO: Ni mpambano wa Tundu Lissu vs Polisi kuhusu Sheria. I love this guy more than enough!

    The guy is very unique. Kutojua nini amesema kwa siku moja kt kipindi hiki cha kampeni kunanipa taabu sana. Mwisho wa siku ktk fukua fukua yangu nikakutana na video hii. Ni somo la sheria kwa Polisi wetu wanaofanya kazi zao kwa mazoea tu badala ya kufuata Sheria. Huyu jamaa ni mtu anayekufanya...
  7. GE2020 Unajua ni kwanini Tundu Lissu anamshinda Dkt. Magufuli?

    Kuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa. Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi wako vijijini, wewee nani kakudanganya wapiga kura wengi wako vijijini? TWENDE NA HESABU HII...
  8. Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti. Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
  9. R

    GE2020 BAWACHA amkeni, uwezo wa kumfanya Tundu Lissu awe Rais wa Tanzania uko mikononi mwenu kwa sasa

    Hatari Wana JF, Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
  10. DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
  11. B

    GE2020 Tundu Lissu: Ratiba ya kampeni visiwani Zanzibar - Sept 7, 2020

    Live : Shughuli nzima ya Kampeni ya Tundu Lissu leo Zanzibar Source : swahili villa Mapokezi ya Tundu Lissu alipowasili airport Zanzibar Updates: LISSU AKIZUNGUMZIA KUMUUNGA MKONO MAALIM SEIF UCHAGUZI WA ZANZIBAR Tundu Lissu : Uchaguzi huu ni muhimu kwa taifa la Zanzibar lazima maamuzi...
  12. GE2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

  13. GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli...
  14. Tundu Lissu akiwajibu tit for tat "wagombea urais" wa CCM

    Hakika uchaguzi huu pele limepata mkunaji. Rick Rose anaimba..the bigger the bullet the more that it makes bang.
  15. J

    Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

    ..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
  16. GE2020 Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!

    Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote. Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini. Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e". Amesema ahadi hii...
  17. S

    Tundu Lissu zungumzia pia hoja ya serikali ya CCM kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma na malimbikizo mengineyo

    Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara. Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
  18. GE2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

    Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa . Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais...
  19. Hoja za Tundu Lissu kuhusu wafanyakazi Kama NI kweli NI kiberiti karibu na karibu na pipa la petrol akipita mwehu karibu zinaweza kulipua taifa.

    Hivi Tundu lissu NI mkweli kweli!? Kama wafanyakazi tena wa serikali wakibinywa wanashindwa kujitetea Basi hakuna kundi lolote kwenye jamii linalowezaweza kufurukuta kujitetea linapokandamizwa au Kuonewa. Kuonewa wafanyakazi NI hatua ya juu kabisa ya uonevu katika utawala. Usitegemee...
  20. GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…