Kwako Magori: Tunahitaji kiungo mkabaji na namba 9 na beki 2/3 siyo kiungo mashambuliaji

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa?

Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya vipi siku Moses Phiri akaumia, akaumwa au akafiwa? Hamuoni haja ya kuleta mshambuliaji mwingine?

Tunahitaji beki anayeweza kucheza namba 2 na namba 3, ndiyo yaani awe anatumia miguu yote, nafasi ya Dejan ipo wazi, achaneni na Akpan na Outarra.

Habari za kuleta kiungo mshambuliaji wa nini sasa? Rudisheni Dilunga, au ni Adebayor asiye na namba Berkane? Sasa si hasara, si kasajiliwa CAF na berkane hatatumika na Simba? Au ni Konde Boy? Hapo uongo hakuna hela ya kumlipa mshahara wake au ni Bwalya asiye na namba amazulu? hovyo kabisa!

Kama mna hamu sana na kiungo mshambuliaji, basi tafuteni mwenye uwezo wa kucheza pia kama kiungo mkabaji awe hodari.
 
Mna mipango mingi. Mkifungwa tu mgunda out
Mbona suala la Mgunda sijaongelea hapa mkuu? we unaona ni sawa magori kusema tutaleta kiungo mshambuliaji mkali january wakati siyo hitaji zito, si bora kuleta kiungo versatile anayeweza kucheza kiungomkabaji na kiungo mshambuliaji,namba 9 pia anahitajika na beki anayeweza cheza namba 2 na 3
 
Umenena vyema ushindani na akiba ni muhimu kwenye kikosi
Kuna fununu kuna kiungo mshambuliaji anaomba kurudi nyumbani sasa ni nani kama siyo Bwalya? Maana Amazulu ansugua benchi, konde boy simba haina millions 80 ya kumlipa kwa mwezi hata wakiambiwa wachangie nusu na ahly hawana, mechi za mkundi ndipo tutaanza kuona muzamiru na kanoute wanapwaya,leta kiungo solid basi na namba 2 anayeweza kucheza 3 pia na namba 9 mkali..JAMANI AGHHHHHHHHHHHHHHHHHH
 
Kiungo mkabaji na mshambuliaji ni wa muhimu kama tunataka kubeba cafcl.
 
Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya ku kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa...
Naomba nikuulize kitu nje ya mada "what do u do for living"
 
Yule Bwalya hata kama angeendelea kubaki Simba SC iko siku angeachwa tu, kitendo cha kumuuza kwa Simba ilikuwa bahati kubwa sana.
unajua hiyo january kelele zote mbwembwe za kina magori ni kwamba kuna mtu kaomba kuja/kurudi nyumbani na ni kiungo mshambuliaji?
unahisi nani kama siyo ADEBAYOR...KONDE BOY(hawa wawili pesa yao kila mwisho wa mwezi ndefu na hata ikifanikishwa itafanya wenzao wajisikie vibaya sana) wa tatu hapo ni BWALYA anajuta huko bondeni ,akae hukohuko tu
Kina magori washasahau kuhusu namba 9 kisa phiri yuko on fire, washasahau kiungo mkabaji wanahisi akpan anatosha na kanoute, washasahau majeraha ya kapombe na kiwango cha kupanda na kushuka cha zimbwe
 
Simba ina wakati Mgumu sana.
Kapombe hana mbadala.
Zimbwe hana Mbadala
Kiungo Mkabaji asilia hatuna.
Mshabuliaji asilia matata hakuna.
Hizo nafasi 4 zikipata vyuma haswaaaaaaa Simba itakaa sawa
 
Simba ina wakati Mgumu sana.
Kapombe hana mbadala.
Zimbwe hana Mbadala
Kiungo Mkabaji asilia hatuna.
Mshabuliaji asilia matata hakuna.
Hizo nafasi 4 zikipata vyuma haswaaaaaaa Simba itakaa sawa
inawezekana mbona ni ukaidi tu na upendaji wa 10 percent kupita kiasi,dejan kasepa, toa akpan toa outarra, leta kiungo mkabaji,leta striker asilia leta beki anayeweza kucheza mguu wa kushotona kulia simba hii itafika nusu fainali
sasa subiri vituko january hapa Rally bwalya kurudishwa
 
Umeongea kiufundi,Simba ina izo changamoto,namba tisa asili,CDM,wing back 2 na 3 wenye viwango
Hivi mnataka Mohamed Hussein afanye nini ili mridhike kuwa anacheza kwa kiwango kikubwa ?

Mbona mashabiki wa Simba wakati mwingine tunakosa hata Shukrani ?

Simba kwenye midfield kwa level yao wako vizuri tu au mnataka wamlete Kante ? Mbona Simba hawa hawa wamekuwa wakizikalisha timu nyingi tu wakiwa na kina Mzamiru.

Hivi unajua mara ya mwisho Simba kufungwa goli nyingi ugenini ni mechi yetu na Kaizer Chiefs na mechi ile kulikuwa na tatizo la fitness kwa wachezaji kukaa zaidi ya wiki mbili bila kucheza hata mechi moja?
 
Hivi mnataka Mohamed Hussein afanye nini ili mridhike kuwa anacheza kwa kiwango kikubwa ?

Mbona mashabiki wa Simba wakati mwingine tunakosa hata Shukrani ?

Simba kwenye midfield kwa level yao wako vizuri tu au mnataka wamlete Kante ? Mbona Simba hawa hawa wamekuwa wakizikalisha timu nyingi tu wakiwa na kina Mzamiru.

Hivi unajua mara ya mwisho Simba kufungwa goli nyingi ugenini ni mechi yetu na Kaizer Chiefs na mechi ile kulikuwa na tatizo la fitness kwa wachezaji kukaa zaidi ya wiki mbili bila kucheza hata mechi moja?
akiumia je ?akapata taizo la kifamilia? ndiyo maana nimeandika kiwango cha kupanda na kushuka cha zimbwe, winga aliyekuwa anamsaidia sana kukaba ni konde boy alikuwa anashuka chini kwa sasa okrah anajitahidi sana kumsaidia,kila mechi ni kama vile teams kubwa za afrika zina ma right wingers wakali zimbwe huwa anahangaishwa sana mbaya zaidi unakuta namba 6 iwe imetepeta

Maoni na ukosoaji unaotolewa hapa ni kutaka simba ivuke robo fainali nothing personal, namba 6 hata kwa usd 100,000 wako wengi sana huko afrika magharibi wazuri mnoooo ni vile tu kuna watu wanataka kutuaminisha akpan anatoisha kabisaa asiguswe
 
Huwa mnazichukulia simba na yanga kwa umakini bila kujali kwamba zinaongozwa na umbwa mwitu zenye njaa.MSIWE SIRIAZI SANA NA HAO PASUA KICHWA.hata kitunguu cha mia wanataka shilingi ishirini.
 
Back
Top Bottom