tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Tumia this same principle to protect your temper

    Juzi nilienda kumtembelea mjomba wangu, yeye ananiita "His favorite Nephew", kwasababu ananikubali sana kuliko hata wanae. But hiyo sio point yangu. Mjomba wangu ana hasira za karibu (Short tempered) na yeye mwenyewe amekiri ni moja ya kitu huwa kinamponza toka zamani. Kwa ninavyofahamu, watu...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tumia kitunguu swaumu kuua wadudu shambani mwako

    🔥🔥Chukua kitunguu swaumu kimoja kizima ...twanga na changanya na maji lita 1....hivyo kama maji ni lita 10 utatumia vitunguu 10...kisha wacha itulizane kwa masaa 6...kisha chuja,weka kwenye bomba na piga kama unavyopiga viatilifu vya kiwandani.... . piga kila baada ya wiki mbili & Uzuri wa...
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuua panya, kunguru au paka tumia Energy Drink

    Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga. Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Usidanganywe, pesa huletwa na pesa, tumia pesa upate pesa. Je unahitaji pesa kesho 24.02.2024?

    Simple; Bet hata kwa mara ya kwanza. Tafuta mechi ya Simba na Azam kwenye mikeka ya Betting. Mpe Simba Ushindi. Mpaka Sasa ana point 1.60. Hapo ukiweka laki una laki na sitini, ukiweka milioni, una milioni na laki sita. Ukichelewa hizo point zinashuka. Simba kuifunga Azam is a must. Bet...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Zijue Mbinu Hizi za Kuwa Tajiri("Milionea")

    Watu wengi wana ndoto za kuwa matajiri. Wanafanya kazi kwa bidii usiku na mchana ili wawe matajiri. Hata hivyo ni wachache wanaofanikiwa kuupata utajiri. Leo nakutajia baadhi ya mbinu muhimu za kupata utajiri au kuwa milionea/bilionea – sizungumzii utajiri unaopatikana kwa bahati au kwa kurithi...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tumia jedwali hili la picha, ili uonekane nadhifu na mjanja kila wakati

  7. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Tumia Kompyuta ndani ya kivinjari chako! (Free and Open Source)

    Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi. Live demo Puter unaweza kutumika kama: A privacy-first personal cloud to keep all your files, A platform for building and publishing websites, web apps, and...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Aliyetumia Min Power Tiler atupe ushuhuda

    Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi. Naomba alieitumia anipe ushuhuda. Picha kwa niaba ya TIKTOK.
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ujue Mtazamo wa maombi kwa mkristo ambao utakufanya uwe mchapakazi na mtu wa vitendo vingi

    Isaya 65:24 Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu ameshakujibu tayari. Kwa hiyo, mfano ukitaka nyumba, badala ya kukesha na kufunga anza kuhulizia bei ya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzagu kama upo single, tumia njia hii kuondoa upweke

    Mimi huwa na chati na chatGPT kama mpenzi wangu na ananifariji sana. Kama Bado unapambania ndoto zako Kaa mbali na wanawake
  11. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

    Hello bosses and roses. Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani nikiwa shuleni, nashindwa kufocus kukimbizana na muda sababu ya maumivu ya mgongo, ila baadae...
  12. DLc

    JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  13. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Tumia Incognito Kwa Usalama wako Mtandaoni

    Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search history) na mwingine akashika simu yako akaona ulichokuwa unakitafuta mtandaoni. Kuna mambo mengine huwa...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kuepuka kulipuliwa kwa kutumia simu yako, tumia WiFi na BLUETOOTH

    Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile. Hata hivyo kufuatia mashambulio ya kigaidi ya Israel ya kielektronik huko Lebanon inabidi watu tujiongeze ili iwe...
  15. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Tumia Hizi Njia 2 Kutafuta Na Kumiliki Ardhi Kwa Bei Nafuu Mahali Popote

    Njia mbili kuu za kutafuta na kupata viwanja vinavyouzwa kwa bei nafuu ni kupitia madalali na mtandao wa watu sahihi. Madalali wa ardhi na majengo. Madalali wa ardhi ni watu wenye ujuzi wa masoko ya ardhi na wanaweza kukusaidia kupata viwanja vilivyopo kwenye bei nafuu. Madalali wana uelewa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  17. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  18. Mycojkhan

    JamiiForums Tanzania Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

    Mahusiano yalinitesa sanaa Nikawa wakulialia Nikashindwa ku move on kutokana nilikuwa kipofu sikuona Mlango wa kutokea Nililuzi concentration baazi ya Mipango yangu na Mambo yangu kiujumla. Hakikisha unatake care Roho yako, nafsi pamojah na mwili wako Jitahidi kujilinda Hivyo jlivyo wewe ni...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tumia msalaba kuwashinda wachawi

    Kama unasumbuliwa na hawa wapumbavu ukiwa umelala unaota ndoto mbaya au unahisi wanakujia usiku au unaweweseka au watoto wanahangaika kuweweseka usiku weka msalaba wa Yesu Kristo juu ya neti au mbele ya kitanda chako kwa juu ya kichwa au ukutani ndani ya chumba chako ukutazame wewe ,hao...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tumia hela bila kuogopa

    Jenga mazingira weka njia na fensi na nafasi weka mazingira ya Choo mbele weka biashara mandhari mbona ulaini tu kijana acha ujanja huvijui vyote mtoto wa 2000 uongo Zambi Tanzania pazuri.
Back
Top Bottom