Je Ungependa kupandisha mauzo
Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30
Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe
Jinsi Ya Kufanya Hivyo
Twende pamoja
Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri
Inatumiwa Na kampuni Chache Sana
Kupandisha Mauzo Ya Kampuni zao
Kama Vile...
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/
Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
ccm
hii
icc
katika
kimataifa
kutuma
mahakama
mahakama ya icc
mauwaji
naomba
serikali
serikali ya ccm
tuendelee
tumia
ushahidi
wahuni
watanganyika
watanzania
wazalendo
wote
Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI!
Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi!
Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa!
Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
Habari zenu wanajamii.
Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year).
Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply.
Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia...
Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch.
🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi:
✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira.
✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
13. Ask for help based on mutual gain.
Huwa tunasema, ukitaka msaada toa msaada kwanza. Mfano mwenzako anauza vitamba ila ni fundi cherehani, mwambie utakuwa unanunua vitambaa kwake na yeye wakija wateja awe anawaelekeza kushona kwako.
Au kwa kuingia patnership ya kugawana wateja, Nakutangaza...
1. Never outshine your client
Mfanye mteja wako aone bidhaa au biashara yako ipo kwa ajili yake. Asione kama anakupatia pesa yake bali ajione atapata faida kubwa sana kulinganisha na huduma anayoipata.
Tunafanya hivi kwa kutoa huduma katika mfumo wa packages ili mteja aone amepata vitu vingi...
Wafanyabiashara ambao wana macho yao au wenye miwani ya macho unaweza kupata ukweli.
Ila hawa wa kuvaa miwani utazani wana turekodi sisi wakati tuna warekodi basi muwe mnapunguza kuwasikiliza.
Kwa kipindi sasa nimekuwa nafuatilia computer nzuri kwa upande wa programming na video editing. Sio mtaalamu wa video editing ila napenda kufanya tu for fun. Kwa kuwa nimebobea kidogo kwenye Windows na Linux toka chuo, nikaona best option kwa sasa ni kutafuta computer yenye gpu nzuri au ninunue...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kuwa, wanauza pesa nyingi lakini mwisho wa biashara hawaoni kitu. Lawama imetupiwa katika maeneo mengi, lakini eneo mojawapo ni eneo la uchawi wa chuma ulete.
Inaaminika kwamba, uchawi wa chuma ulete ni aina ya uchawi ambao mtu huja dukani kwako...
Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho…
UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
Iwapo wewe hutumii kitu basi usipande mibarini na kuanza kuhubiri watu kuwa pombe ni dhambi.
Kila mtu kashajiwekea mipaka yake wapo wapagani kabisa hawajawahi kuambiwa na kiongozi yeyote wa dini kuwa pombe ni dhambi lakin automatic tu hawanywi hiyo ni mipaka yao wamesha jiwekea wenyewe mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.