tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote. ==== 1...
  2. Ggadafi

    JamiiForums Tanzania Tumia elimu yako kutengeneza mwenyewe

    Habari zenu wadau! Bila Shaka mko vizuri, poleni na majukumu ebana, nashangaa sana na sifurahi nimwonapo kijana msomi, tena aliyezaliwa kijijini akihangaika mijini na maisha ya kuungaunga na elimu yake kichwani.. unaanzajaje kuondoka kijijini sehemu ambako kuna fursa chungu nzima, et unaenda...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chief Hangaya tumia njia za jadi kuiendesha nchi, hutajutia

    Kitu cha kwanza walichokifanya wakoloni walipokuja kwetu ni kutuambia kuwa kila kitu chetu hakifai, ni duni, ni uchenzi. Hii ikasababisha watu wabadilishe hata namna ya kuvaa, kuchana nywele, kula, matibabu, ulinzi na utawala. Tulifuta kabisa tawala na viongozi wa jadi na kukumbatia utamaduni wa...
  4. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Player ina tumia santuri zote aina tatu

    Nauza player ya santuri bei laki moja tasilimu Ina bluetooth Ina play 45, 33 na 78 Portable and easy to carry
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  6. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowah tumia internet ya Net Solution

    Wakuu kwema... Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution... Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali, installation wanafanya kwa 300k na vifurush vinaanzia 88k unlimited kwa mwezi. Naomba kujua kama kuna mtu...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa kwa mdau kamwe usitumie Neno " Nimefarijika" badala yake tumia Neno " Nimefarajika"

    Wadau wote hamjamboni Niwatahadharishe Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani linaleta maana mbaya Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja" Aksanteni
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TCRA: Tumia simu vizuri, ukimdhalilisha mwanamke mtandaoni jela inakuhusu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaonya watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake mitandaoni, ikisema kufanya hivyo ni kosa la kihalifu kwa mujibu wa sheria za nchi na kunaweza kumpelekea mtu kutozwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja. Wito huo umetolewa hivi...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tumia Nguvu zako kupata Pesa

    SAFARI YA KUTAFUTA PESA. TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA. Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga. Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono. Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa duniani bila kujishughulisha na chochote wakati Mungu amekupa Uhai, akili, na afya njema UNAKUWA MZIGO...
Back
Top Bottom