tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tumia hela bila kuogopa

    Jenga mazingira weka njia na fensi na nafasi weka mazingira ya Choo mbele weka biashara mandhari mbona ulaini tu kijana acha ujanja huvijui vyote mtoto wa 2000 uongo Zambi Tanzania pazuri.
  2. S

    JamiiForums Tanzania kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  4. greater than

    JamiiForums Tanzania Ushawahi tumia uongo gani ilimradi umpate msichana/mwanamke au mwanaume kimahusiano?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,, Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo. Tukaenda kula bata Billcanas. Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani. Mwamba...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Upo chuo au hauna ajira ila unamiliki simu ya laki tatu na kuendelea? Tumia mbinu hii kupata pesa ya kujikimu kimaisha (nunua camera)

    Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
  6. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Baba, tumia mapumziko Yako ya week-end kwa kukaa na wanao.

  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Tumia Pesa ya mkopo kwa nidhamu ya hali ya juu

    Ni ukweli ulio wazi kwamba maisha yana kupanda na kushuka, wakati mwingine inatokea mambo yanakuwa magumu kama vile biashara kuyumba nk, Kwa mfanya biashara ukichukua mkopo ili ku boost biashara yako pale ukwamapo siyo mbaya, Niwape kisa kimoja Kuna rafiki yangu alichukua mkopo kama ML 15...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tumia utulivu kuchagua kwa sababu kesho nawe utachaguliwa na ulichokichagua

    TUMIA UTULIVU KUCHAGUA KWA SABABU KESHO NAWE UTACHAGULIWA NA ULICHOKICHAGUA ✍️ Hamna namna utakwepa kuchaguliwa na ulichokichagua, swali ni je kipi ulikichagua ? 1.Kozi uliyochagua kuisoma chuo bila shaka na yenyewe ilishakuchagua. 2.Aina ya mahusiano uliyochagua na yenyewe yalishakuchagua au...
  10. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Rice cooker 1.8 l itaweza tumia umeme wa units 14 sawa na 5000 kwa siku 30

    HABARI WANDUGU NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ? AU NI KUBWA SANA , MAANA NAHITAJI SET BUDGET YA KI GHETO GHETO .....
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kama App ya Jamiiforums inakusumbua, tumia hii link

    Salaam Wakuu, Hivi kuna mtu bado anapata changamoto kwenye kutumia application ya Jamiiforums? Kwa wale wa androids tumieni hii link. Acha kulialia https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamii.app2024
  12. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Tukifika kwenye number plate G nanunua gari, kwasasa sitaki tumia herufi yoyote ile

  13. G

    JamiiForums Tanzania Una Tatizo La Miguu Kuwaka Moto, Ganzi Na Mgongo Kuuma? Tumia Mkeka Tiba wa Reflexology Mat Kwa Suluhisho La Haraka...

    Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara? Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu? Pia ungependa kujua suluhisho la haraka na rahisi la kuondoa ganzi na maumivu hayo Anza sasa...
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Tumia hii Sala ya kuomba Mchumba Mwema: Utapata matokeo mazuri na utanishukuru

    Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote. Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tumia kinga acha ngono zembe

    Tumieni kinga acheni kuja kuleta masikitiko humu kuhusu mimba, wakati wa mzagamuano hukujua nini kinaweza tokea kwani? NB: DEMU UKIPEWA MIMBA NA UKAKIMBIWA KABLA YA NDOA USILALAMIKE.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau

    Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau
  17. Rabama

    JamiiForums Tanzania Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

    👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu. 👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza 🙏Bei yake 495,000/= Naliuza kwa sababu na shida Piga simu leo 0713...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta machine ya kufanya voice over ( kama zile wanazo tumia ma Dj wanao tafsiri movies kwa kiswahili)

    Anae jua nitapata wapi hii machine pamoja na bei yake anijulishe tafadhali. With much thanks in advance
  19. Transistor

    JamiiForums Tanzania Incubator zinazo tumia nishati mbadala,Gas na Solar,Mafuta ya taa

    TUNAONGEZA AU KUFUNGA MFUMO WA GAS AU MAFUTA YA TAA KWENYE MASHINE ZA KUTOTORESHEA AMBAZO ZINATUMIA UMEME KAMA MFUMO MKUU AU "BACK-UP" Kwa mahitaji ya kubadilishiwa au kuongezewa mfumo wa kutumia gas katika Incubator yako wasiliana nasi,gharama inategemeana na ukubwa wa. mashine Pia tunaunda...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

    Inakuwa ngumusana kuzikontroo. Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock Nikamfata kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana...
Back
Top Bottom