Mungu ni muweza wa yote, Mbona kamuacha shetani anafanya kazi zake?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,085
8,452
Jamani Mungu kweli ni waajabu?
Nambona shetani anatawala sana

Mungu ni muweza wa yote?
Mbona kamuacha shetani anafanya kazi zake
.
Tuseme ujweli kunabinadamu hua anaomba utajiri kwa Mungu anapewa wacha tu utajiri na mambo mengine
Ila kwa shetani papo hapo utayaona mabadiliko

wacha hivyo tunajua watu wengi tutachomwa karibia 95% huko na hakuna mtu alikufa akasema kuna mbingu au moto so inawezekana tunaaminishwa tu

Mimi sipingi kwamba Mungu yupo ila kwa ukweli sidhani kama anafanya kazi na binaadam kwani ameshindwa kuitoa dhambi

sisi binadamu tumekaa kwa uwoga et tutachomwa jamani, sote tunajua watu watakao enda mbinguni huko hawazidi 25% tena inaweza kupungua haina haja ya kutafuta kitu ambacho alienae wala hadhihiliki kwetu kama ilivyoandikwa

niliipenda imani na kuiamini ila huyo Mungu hakuwahi kunijibu basi na mimi naamua kuwa nitaishi kama nitakavyo wala siogopi chochote tena nipo tayari kwa chochote sio kufugwa kwenye madini ya kusadikika mimi nahisi hata hao waliotuletea hizi dini kunakitu walikiona kuja kuwatia watu uoga

Nimeamua hivi kwa sababu nidhahiri Mungu hajawahi kudhihirika kwetu ni kama unaomba upepo tu hakuna kinachofanyika

Mungu ikiwa unayajua haya basi naomba udhihirike kwangu na kutajua ni kweli ila kinyume na hapo mapenzi yangu niyo yatakayo nitawala

mimi nasema kuwa kwa haya maisha ya duniani kama ningekua mmoja ya hao malaika walio asii ningeitesa na kuivuta watu kwa shetani maana unafikiria shetani ni rahisi kumkuta na kukutokea na ufalme wake unadhihirika kwa urahisi

Lakini Mungu daah! Sijui nifanye nini?

GOOOD MORNING FATHER LUCIFER
 
Kama hutojali,pitia quraan,yote yapo clear..google hiyo hoja yako,utapata hitaji lako
 
Shetani kaumbwa na Mungu. Anafanya kazi aliyopewa na Mungu.
Kukuchangasha usiku wa manane unapopita mtaani umelewa.
 
Back
Top Bottom