tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa Wayahudi wa Kyera na waarabu wa Liwale

    Asalam aleykum Shalom shalom Hili ni jukwaa huru, kama utakua mfatiliaji wa nyuzi mbalimbali katika majukwaa haya; 1. Hoja mchanganyiko 2. International forum 3. Jukwaa la siasa Basi utabaini uwepo wa wahayudi na waarabu kutokea katika pande mbalimbali za Tanzania ambao Wana misimamo mikali...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wabahili wenzangu tukutane hapa, umekusaidia au kukurudisha nyuma, ulijuajaje wewe ni bahili, umerithi ama kujifunza

    Sikujua mimi ni bahili mpaka nilipoona watu wengi wakiniita mbahili lakini mimi nilikuwa naonaga kawaida tu, Imekuwa ni mazoea kwangu kuwa sensitive sana hata kwa utofauti wa bei ndogo, nahisi maumivu Kitu flani nikikuta elfu 50 duka flani na nikaenda duka la mbali kinauzwa elfu 52 nipo tayari...
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

    Ugonile, kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!! Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Risk takers tukutane hapa

    Wale tuliowahi kupigwa na Ponzi schemes, majasiri tukumbushane machungu kidogo. Mimi nishalizwa na DECI na LBL. DECI kama 1.2m na LBL kama 9m hivi.
  5. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Wazee wa katuni za channel 10 miaka ya 2009-13 TUKUTANE

    Salamu wakuu leo nimeweka chaneli ya boing na cartoon network, nimekumbuka mbali sana show za: ben 10, chowder, adventure time, code lyoko na superman(zilikuwa Itv), amazing world of gumball, Angelo rules, scooby doo, the grim adventures of billy and mandy(billy chizi😂), young justice, green...
  6. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Tuliopigwa na M Poxy (Monkey poxy) Tukutane hapa kupeana mbinu za kujitibu

    Naanzisha huu uzi kuwasaidia wagonjwa watarajiwa wa Monkey poxy. Ukiona dalili au homa za muda mfupi jitahidi sana ukague mwili wako ukiona kipele (nimeweka picha) mwoneshe daktari haraka sana. Sidhani kama kuna tiba special ila kuna dawa za kutuliza (utapewa dawa nyingi sana) Meza kila...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume waiopenda kuoa tu.

    Kwa wale wasiopenda kuoa tukutane hapa.
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Waliosoma shule za kata na kuumbuliwa na kiingereza tukutane hapa

    Nilipokuwa form One baadhi ya maneno nilikuwa naya-assume (najitengenezea) maana zake katika fikra zangu kwa sababu kiingereza lilikuwa hakipandi. Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya kiingereza na maana nilizokuwa nilizoziunda kwa Kiswahili. Let - Lete. Pudenda - mpira unadunda. Cook - kuku. Sex...
  10. Smooth Criminal

    JamiiForums Tanzania Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

    Rasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa No sex, No masturbation, No porn. Here we go. Picha haihusiani na uzi
  11. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Gen Z tunasakamwa sana, tuolizaliwa kati ya 1997 mpaka 2012 tukutane hapa

    Gen Z njooni tubadilishane mawazo na uzoefu. Vipi wewe unafanya mishe gani? maisha yanakupiga au umeyapatia? Kama umeyapatia, tufundishe njia zako na sisi tutembee humo. Humu JF naona GenZ tunapewa sifa mbaya, kasoro wanawake tu, ndiyo wanasema tuolewe tukiwa wadogo. Kitu gani cha kukera au...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Waliotembelea Hillbrow Johannesburg tukutane hapa

    Hillbrow ni moja ya maeneo ambayo yamekuwa na mabadiliko makubwa tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Katika kipindi hicho, eneo hilo lilijulikana kwa kuwa na maisha ya jiji yenye msisimko, majengo marefu, na jamii tofauti. Hata hivyo, kama katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na changamoto...
  13. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2025, tukutane hapa

    Tunaweza kuwa tunaongea ongea sana humu mitandaoni ili kujiliwaza tu, jamani mapenzi yanauma nyie. Break up yangu bado mbichi, nina wiki tu toka nivunje mahusiano na lile dubwana bondia lililonipiga mingumi baada ya kurudi kutoka kwenye mechi ya mpira likiwa limelewa. Nifanyaje kutuliza...
  14. flood

    JamiiForums Tanzania Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

    Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa. Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio...
  15. Hharyson

    JamiiForums Tanzania WALE WAWEKEZAJI WA VILLA TUKUTANE HAPA +255624004650

    AIRBNB DESIGN VILLA CONTAIN 24 UNITS (EACH LOUNGE + BEDROOM)
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wote tukutane hapa kujadili na kushare source code za MQ4 na MQ5 ili kukabiliana na mtindo wa masoko

    Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni. Uchambuzi wa masoko ni uwanja mpana wa kupeana ujanja wa kuboresha au kubuni kukabiliana na masoko. Hizi ni moja software...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS

    Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya...
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

    Ungependa kuishi mpaka miaka 40 tu lakini uwe na MAISHA YA KIFAHARI, au mpaka miaka 80 lakini uishi MAISHA YA KAWAIDA?" ~ Tudondoke hapo chini.
  19. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hackers tukutane hapa!

    SASA RASIMI PI IMEKUWA LISTED KWA THAMANI YA $0.2 ILIPANDA MPAKA 3 ILA SASA INASHUKA IPO 1.2 NA ITAZIDI KUSHUKA SABABU WATU WANAUZA SANA CRYPTO NDIO ILIVYO PI ILISHINDWA MALENGO YAKE TOKA ZAMANI YA KUFANYA MODE OF TRADING KWA BEI YA GVC, HIVO KUTOWAANGUSHA WATU WAKE WAKAIINGIZA KATIKA CRYPTO...
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hackers tukutane hapa!

    White hat hackers mpo wapi? Cyber security experts let us meet here and exchange different ideas.
Back
Top Bottom