Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika .
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi...
Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo kwenye picha, kwani kipindi cha mwanzo nimeisha wahi kuuza coins 347 kwa QuantamFx ili kujaribu...
Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje
Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa
Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa.
Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi.
Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu.
Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya...
Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea
Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV
Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha tukisha elimika sasa!
Haba na haba hujaza kibaba wahenga walisema! Lakini sasa za kuambiwa zichukue...
Mimi binafsi nimewahi kuwekwa mahabusu mara 6 kwa vipindi tofauti.Sababu ni ugomvi ugomvi.
Nimeanzisha huu Uzi tu share stori za mikasa na uzoefu uliopata ukiwa lock up.
Mimi naanza:
Nikiwa mahabusu woga mkubwa ni wafungwa wenzangu.Unakuta watu kibao humo, wapo walioua,kubaka,wezi, na hata...
Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona.
Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
Wakuu, hii imeshawahi kukutokea wewe katikati ya show mpira umetatuka chwaaa? Unashangaa Chuma kinaanza kukisugua Chuma kingine mpaka Cheche zinaanza kutoka? Ushawahi kupasukiwa na mpira wewe katikati ya show show?
Baadhi ya wateuliwa wa nafasi ya Ubunge leo kupitia ccm ni wana familia wa familia maarufu hapa Tanzania.
Ni kama wanasubiria muda waende na madereva wao wa VX LC 300 kwenda kuapishwa Dodoma.
Chama kina wenyewe na wenyewe hawana kelele huku mitandaoni.
DJ naomba kibao cha “Kalayi boeing”...
Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura.
Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba ,
maana humu jf kila niki zunguka kila mtu ana nyumba au mjengo mkali na wa maana.
tuki ijua idadi yetu, tuna weza tuka ungana kuweka...
Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando.
Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama
1. ursa net vpn
2. biddinet vpn
3. ommanova vpn
4. geo tunnel vpn
Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.