mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,190
- 8,398
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k
Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na kuwatumia vibwengo !
Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na kuwatumia vibwengo !