Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 494
- 1,049
I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko
Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu wanaita cosmetics products sijui ni hivyo au nachanganya mafile.
Tumekutana tumesalimiana vizuri nikampa muda wa kubrand bidhaa zake mwisho wa siku nikakumbuka kauli moja na snoop Dogg aliwahi kusema
..."Ukimuona kijana mdogo anauza maji juani basi nunua hata kama huna kiu kwa maana kijana huyo huyo angeweza kuuza madawa ya kulevya akiwa kijiweni."...
Sasa mimi nikasema huyu ni kijana mwenzangu acha nimpush nikamwambia achana na hayo mengine mimi nipe mafuta "Body lotion" 🧴 akanielezea haya ni mafuta ya hivi na hivi yanasaidia kulainisha na kuhifadhi unyevu wa kwenye ngozi basi nikanunua vizuri. Kwakuwa ni mara ya kwanza natumia mafuta tofauti nilipokaa nikatulia sasa nikachukua haya mafuta nilonunua kwa lengo la kumsupport kijana mwenzangu nimeyakagua na kuangalia kama bidhaa hii imesajiliwa na mamlaka ya dawa na vipodozi nchini mean sijaona cha (TMDA/ TBS ) nikageukia upande wa pili nikachukua makolo kolo yangu karibia yote mafuta, sabuni, dawa ya meno etc nikaanza kuvilinganisha nikakuta ambavyo ninavitumia vyote vimehakikiwa na TBS isipokuwa kimoja ambacho ni dawa ya meno (Vigor doctor) japo ni dawa ambayo naitumia tangu zamani haijawahi kuniathiri.
sasa swali langu nataka nijue labda kuwa watu wameshawahi kutumia haya mafuta labda nipate experience kidogo.
NB. Nimeuliza kwa sababu sijaona usajili wa wazi wa hii bidhaa kwenye mamlaka ya kudhibiti ubora TZ (tbs)